Kuwa mwanasheria ndani ya mwezi mmoja tu

Mwanafalsafa

Platinum Member
Jun 24, 2007
657
847
Habari zenu Wadau,

Kama unatembelea jukwaa hili la sheria, ina maanisha tayari unafahamu umuhimu wa sheria katika maisha yako ya kila siku.

Lakini ukitaka kujifunza sheria program zilizopo Tanzania kwa sasa ni ndefu na za gharama. Inabidi ujipange.

Hivyo basi, baada ya kuwa nimepitia Program za Mafunzo ya Sheria Tanzania, na kufanya practical za kuendesha kesi Mahakamani nimewatengenezea Program ya Ukweli YA MWEZI MMOJA TU ambayo itakufundisha mambo yote ya msingi ya kukuwezesha kutatua matatizo yako yote ya kisheria wewe mwenyewe.

Ukitaka Wakili basi iwe umeamua tu. Mfano ubize umekubana,

Program nii inatwa ONE-MONTH LAWYER.

MAFUNZO YATAANZA JUMATATU YA 23/9/2019

Mada (Silabasi) ni kama ifuatavyo:

1. SHERIA NI NINI?
=> Maana, historia, na tofauti kati ya jinai na madai.

2. VYANZO VYA SHERIA
=> Katiba, Sheria za Bunge, Sheria za Mapokeo, Sheria za Kimataifa, Mila na Utamaduni, Hukumu za Mahakama

3. SHERIA MUHIMU ZA JINAI UNAZOTAKIWA KUJUA
=> Kanuni ya adhabu, Mwenendo wa jinai, Sheria ya Ushahidi, na jinsi ya kuvibaini vifungu vya jinai kwenye sheria zote

4. SHERIA MUHIMU ZA MADAI UNAZOTAKIWA KUJUA
=> Madhara, Mkataba, Mwenendo wa madai, Ndoa, Ardhi, n.k.

5. MAHAKAMA
=> Sheria iko Mahakamani. Hapa utajifunza aina zote za Mahakama, ziko wapi na zinafanyeje kazi

6. JINSI YA KUSHINDA KESI MAHAKAMANI
=> Kutathmini kesi, kuandaa nyaraka, kuandaa ushahidi, milango ya kutokea (loopholes), na jinsi ya kuongea.

ADA NI

TSHS. 50,000/- Kwa darasa la mtandaoni (kupitia app ya Telegram)

TSHS. 100,000/- Kwa darasa la uso kwa uso

SI HAYO TU...

Ukishamaliza kozi hii utapatiwa Cheti cha Kuhitimu, na utaunganishwa na Group Exclusive la Mtandaoni la wahitimu wote na wakufunzi wao ambapo lengo kuu ni kuhakikisha hakuna kesi yoyote ambayo itakusumbua milele. Ukiwa na kesi utaileta hapo kwenye group na utapewa nyenzo zote za kuimaliza hiyo kesi kuanzia Vyanzo vya Kisheria vya Kutumia, Nyaraka za Kupeleka Mahakamani, na Hoja za Ushindi.

Kama umevutiwa ingia Waiting Room kupitia link hii ya Telegram

Waiting Room unaweza ukauliza maswali, na utapewa maelekezo zaidi.

lawyer-03-300x225.jpg
 
Aisee hii kali kweli kweli. I speak from my experience niko kwenye field mzee, issue ya kujua na kuielewa fika sheria pia kufanya tafiti ni jambo la zaidi ya miaka miwili tukisema tubane mda kama ulivyoleta plan yako. But it's not so easy pia kupikika vizuri kama mwanasheria at the end of the day if you pass that fast to the law courses. Atakaye toka kwenye hii course ya mwezi bila kumkatisha tamaa kwa makusudi, asifikirie kusogelea law school pale mawasiliano maana ata taga vibaya mno.

No hard feelings to the monthly program brother, wishing you the best in your investment. Peace & Love
 
Habari zenu Wadau,

Kama unatembelea jukwaa hili la sheria, ina maanisha tayari unafahamu umuhimu wa sheria katika maisha yako ya kila siku.

Lakini ukitaka kujifunza sheria program zilizopo Tanzania kwa sasa ni ndefu na za gharama. Inabidi ujipange.

Hivyo basi, baada ya kuwa nimepitia Program za Mafunzo ya Sheria Tanzania, na kufanya practical za kuendesha kesi Mahakamani nimewatengenezea Program ya Ukweli YA MWEZI MMOJA TU ambayo itakufundisha mambo yote ya msingi ya kukuwezesha kutatua matatizo yako yote ya kisheria wewe mwenyewe.

Ukitaka Wakili basi iwe umeamua tu. Mfano ubize umekubana,

Program nii inatwa ONE-MONTH LAWYER.

Mada (Silabasi) ni kama ifuatavyo:

1. SHERIA NI NINI?
=> Maana, historia, na tofauti kati ya jinai na madai.

2. VYANZO VYA SHERIA
=> Katiba, Sheria za Bunge, Sheria za Mapokeo, Sheria za Kimataifa, Mila na Utamaduni, Hukumu za Mahakama

3. SHERIA MUHIMU ZA JINAI UNAZOTAKIWA KUJUA
=> Kanuni ya adhabu, Mwenendo wa jinai, na jinsi ya kuvibaini vifungu vya jinai kwenye sheria zote

4. SHERIA MUHIMU ZA MADAI UNAZOTAKIWA KUJUA
=> Madhara, Mkataba, Mwenendo wa madai, Ndoa, Ardhi, n.k.

5. MAHAKAMA
=> Sheria iko Mahakamani. Hapa utajifunza aina zote za Mahakama, ziko wapi na zinafanyeje kazi

6. JINSI YA KUSHINDA KESI MAHAKAMANI
=> Kutathmini kesi, kuandaa nyaraka, kuandaa ushahidi, milango ya kutokea (loopholes), na jinsi ya kuongea.

ADA NI

TSHS. 50,000/- Kwa darasa la mtandaoni (kupitia app ya Telegram)

TSHS. 100,000/- Kwa darasa la uso kwa uso

SI HAYO TU...

Ukishamaliza kozi hii utapatiwa Cheti cha Kuhitimu, na utaunganishwa na Group Exclusive la Mtandaoni la wahitimu wote na wakufunzi wao ambapo lengo kuu ni kuhakikisha hakuna kesi yoyote ambayo itakusumbua milele. Ukiwa na kesi utaileta hapo kwenye group na utapewa nyenzo zote za kuimaliza hiyo kesi kuanzia Vyanzo vya Kisheria vya Kutumia, Nyaraka za Kupeleka Mahakamani, na Hoja za Ushindi.

Kama umevutiwa ingia Waiting Room kupitia link hii ya Telegram

Waiting Room unaweza ukauliza maswali, na utapewa maelekezo zaidi.

lawyer-03-300x225.jpg
Kimsingi, hiyo package ya hicho kinacho fundishwa haitoshi hata kumfanya mtu kuwa mwanasheria yaani eti awe 'certified lawyer' hapana, maana si theluthi hata ya maarifa ambayo mwanasheria anapaswa kuwa nayo.

Hizo certificates zitakazotelewa hadhi yake ni kama 'certificate of attendance' yaani vile vyeti wanaohitimu semina na warsha fupi hupewa kutambua tu kwamba wame attend na havina hadhi ya vyeti vya kitaaluma vya mhitimu wa sheria.

Inakuwaje unawafundisha watu legal drafting, yaani hayo maarifa ya kuandika nyaraka za kisheria ili iweje? yawasaidie nini wakati hawatakuwa legal practitioners na sheria inakataza mtu yoyote asiye wakili kuandaa nyaraka za kisheria. Bila shaka hii ni programu kabambe ya kuandaa vishoka hakika.

Halafu hayo mafunzo yako yamekuwa approved na Council for legal Education ama mamlaka gani imeidhinisha hiyo training?

Nikushauri tu, wananchi wengi wanahitaji msaada wa kisheria na utaratibu wa kutoa msaada unafahamika, hayo mafunzo yako kwa namna yoyote yasitumike kuaminisha watu kwamba yatawafanya wawe wanataaluma.

Yatosha kusema, sisi wote ni 'wana wa sheria' lakini kuna wachache ni 'wanashera'.
 
Wadau naomba mtu kama huyu mumpuuze. Amefungwa kifikra na hali iliyopo. Hana uwezo wa kuona hali mpya inayowezekana. Na kwa wale wote ambao mtajiunga kujifuza utafika wakati mtaelewa ni kwa nini.

Kwa ambaye yuko tayari kujifunza, ili aweze kutatua matatizo yake kisheria bila ya kulazimika kumtegemea wakili karibu sani.

Hatua ya kwanza ni ingia kwenye Group la Telegram la Waiting Room kwa link hii:

Mnaokosoa wote naona mnashindwa kuelewa tofauti ya MWANASHERIA na WAKILI.

Mwanasheria ni mtu yeyote ambaye amejifunza na anaijua sheria.

Wakili ni mtu aliyepewa idhini ya kuwakilisha watu kwenye kesi Mahakamani. Ili kuwa Wakili ndo inabidi usome degree na ufaulu Law School. Lakini Mwanasheria sio lazima kupitia kote huko.

Nifafanue tu kwamba kozi hii haitakufanya uwe Wakili, ila itakufanya uwe Mwanasheria.

Jambo la Muhimu kwa mnaotaka kujifunza kufahamu ni kwamba MAHAKAMA ZIKO WAZI KWA KILA MTU. SIO KWA MAWAKILI TU. MTU YEYOTE ANAKARIBISHWA KUFUNGUA KESI YAKE MAHAKAMANI AU KUJITETEA KWENYE MASHTAKA DHIDI YAKE MAHAKAMANI. SIO LAZIMA ATETEWE NA WAKILI.

Kwa hiyo kozi hii ndo imelenga hapo. Kukuwezesha uweze kuitumia Mahakama vizuri kwenye ishu zako za Kisheria.

Natumai mpaka hapo tumeelewana.
 
Ijapokuwa umeomba wanipuuze, mimi nitaomba wadau wakutazame kwa jicho la umakini na tahadhari kubwa wewe ndugu mjasiriamali ktk taaluma ya sheria.

Tafsiri yako kuhusu nani anapaswa itwa 'mwanasheria' si ya kitaalamu, kama ni kamusi basi itakuwa umetumia kamusi ya kienyeji ama ya kijasiriamali.

Nitaweka hapa sheria yetu inayotoa tafsiri ya nani ni mwanasheria ili hata hao unawaomba wanipuuze wapate kufahamu ni kwanini wakuzingatie juu ya haya unayojaribu kushawishi.
 
Sipendi tuanzishe ligi hapa, maana ligi za kisheria huwa zinakwenda hata miaka kumi.
Nikuulize swali moja tu, hupendi watu waijue sheria?
 
Mnaokosoa wote naona mnashindwa kuelewa tofauti ya MWANASHERIA na WAKILI.

Mwanasheria ni mtu yeyote ambaye amejifunza na anaijua sheria.

Wakili ni mtu aliyepewa idhini ya kuwakilisha watu kwenye kesi Mahakamani. Ili kuwa Wakili ndo inabidi usome degree na ufaulu Law School. Lakini Mwanasheria sio lazima kupitia kote huko.

Nifafanue tu kwamba kozi hii haitakufanya uwe Wakili, ila itakufanya uwe Mwanasheria.

Jambo la Muhimu kwa mnaotaka kujifunza kufahamu ni kwamba MAHAKAMA ZIKO WAZI KWA KILA MTU. SIO KWA MAWAKILI TU. MTU YEYOTE ANAKARIBISHWA KUFUNGUA KESI YAKE MAHAKAMANI AU KUJITETEA KWENYE MASHTAKA DHIDI YAKE MAHAKAMANI. SIO LAZIMA ATETEWE NA WAKILI.

Kwa hiyo kozi hii ndo imelenga hapo. Kukuwezesha uweze kuitumia Mahakama vizuri kwenye ishu zako za Kisheria.

Natumai mpaka hapo tumeelewana.
Mwanasheria mwezi mmoja
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom