Kuwa Mpinzani kwa Afrika kubali yote ikiwemo kufa kabisa ili mradi umejitoa kizazi chako kipone

Ni kweli kabisa mkuu, upinzani usipomuunga mkono Yesu wenu, huo si upinzani kabisa ,upinzani wa kweli kwenu ni kuisujudia ccm
Mtajitambua lini ili msimamie agenda zenu mpaka zikamilike.

Upinzani wa kweli upo Uarabuni, wale jamaa hawaogopi kitu wakiamua wameamua
 
Back
Top Bottom