Kuwa mlemavu wa viungo haimaanishi wewe ni mlemavu wa akili

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
MTOTO+MLEMAVU+WA+VIUNGO+AKIMUDU+MAISHA+KWA+KUTUMIA+VIUNGO+VYAKE+NA+KUMUDU+MAISHA+YA+KUJITEGEMEA+MBALI+NA+KUWA+TEGEMEZI+KWA+KUSHIRIKI.+KUPIKA+CHAKULA.jpg

Mtoto mlemavu wa viungo akimudu maisha kwa kutumia viungo vyake na kumudu maisha ya kujitegemea mbali na kuwa tegemezi kwa kushiriki kupika chakula.

MTOTO+MLEMAVU+AKIWA+NA+FAMILIA+YAKE+WAKIWA+NAFURAHA.jpg

Mtoto huyo akiwa na familia yake tena kwa furaha teeeele.

MTOTO+MLEMAVU+WA+VIUNGO+AKIMUDU+MAISHA+KWA+KUTUMIA+VIUNGO+VYAKE+NA+KUMUDU+MAISHA+YA+KUJITEGEMEA+MBALI+NA+KUWA+TEGEMEZI+%E2%80%94.jpg

Hivi ndivyo mwanawane anavyokula bila utegemezi naye maisha kayazoea anaishi kama wewe uliye na viungo vyote.

1.jpg

Na maji ya kunywa akishushia.

2.jpg

Maisha yanategemea sanaa na jinsi unavyoyapokea na changamoto zake zilizoko mbele yako vile unavyozikabili kwa mtazamo chanya katika mazingira hasi. Kinachohitajika ni kuona kinachowezekana katika kisichowezekana ili kukabili maisha ya amani na mafanikio, pichani akiwa na furaha mara baada ya kukabidhiwa baiskeli ya magurudumu matatu.

MTOTO+MLEMAVU+WA+VIUNGO+AKIWA+NYUMBANI+KWAO.jpg

Pozi la umakini nyumbani.

3.jpg

Mtoto aliyezaliwa na ulemavu wa viungo akiwa na ndugu jamaa na marafiki wakifurahia pamoja maisha.
MAISHA YANATEGEMEA SANAA NA JINSI UNAVYOPOKEA CHANGAMOTO ILIYOKO MBELE YAKO KWA MTAZAMO CHANYA KATIKA MAZINGIRA HASI. KINACHOHITAJIKA NI KUONA KINACHOWEZEKANA KATIKA KISICHOWEZEKANA ILI KUKABILI MAISHA NA KUISHI MAISHA YA AMANI NA MAFANIKIO. g sengo: KUWA MLEMAVU WA VIUNGO HAIMAANISHI WEWE NI MLEMAVU WA AKILI.
 
Dah, Mungu mkubwa na kuangalia picha kama hizi kunaongeza imani na kuona tofauti bain ya mtu na mtu
 
Nampongeza sana huyo mtoto ila siku zote watoto na moto?!! Chonde jamani!!!
 
Halafu eti unakutana na mtu mwenye viungo vyake
vyote akilalamika kuwa Mungu kamtupa. Tujifunze
kushukuru na kuridhika kwa chochote tunachopata,
kwani kuna watu wanatamani hata hivi tulivyonavyo
ambavyo haturidhiki navyo na hawavipati..
 
Back
Top Bottom