Kuwa mkweli. Unabadilisha shuka ya kitanda mara ngapi kwa wiki?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Mimi niwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi 🤷

Kna huyu dada roommate wangu shuka yke mpk imebadilika rangi. Habadilishi inaeza ikapita hadi mwezi au miezi. Yeye ni kupaka makeup tu na kwenda kwa seminars lkn hpo kitandan analala mpk shuka inanuka.

Je wewe unabadilisha shuka mara ngpi?
 
Mimi nwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi 🤷

Kna huyu dada roommate wangu shuka yke mpk imebadilika rangi. Habadilishi inaeza ikapita hadi mwezi au miezi. Yeye ni kupaka makeup tu na kwenda kwa seminars lkn hpo kitandan analala mpk shuka inanuka.

Je wewe unabadilisha shuka mara ngpi?
Watu bado wanahangaikia milo mitatu we unauliza kuhusu kubadilisha shuka
 
Back
Top Bottom