Kuwa mkweli na Mungu anakuona, upo kwenye mahusiano na watu wa ngapi?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,913
Ndugu yangu, kuelekea mwisho wa mwaka huu, nakupa challenge ya kusema ukweli wote ukweli kabisa na Mungu anakuona, una mahusiano na watu wa ngapi?

Kwa nini ukawa na idadi hiyo?

Unadhani ni sahihi?
 
Ndugu yangu, kuelekea mwisho wa mwaka huu, nakupa challenge ya kusema ukweli wote ukweli kabisa na Mungu anakuona, una mahusiano na watu wa ngapi?

Kwa nini ukawa na idadi hiyo?

Unadhani ni sahihi?
I have only one and he knows I LOVE YOU SO MUCH IF YOU READ THIS MESSAGE UNIQUE FLOWER SHE LOVES SO MUCH I DON'T HAVE ANYONE I WILL LOVE U ALWAYS
 
FB_IMG_15746611743894061.jpg

Ninae 0!! Tuliachana hlf kisa nishasahau,sikumbuki tulikorofishana Nini!!
 
Back
Top Bottom