Kuwa milionea inaanzia sh. Ngapi?

kama nimekuudhi nisamehe!

Jamaa yupo sahihi....usijifanye unaipondea topic kwakuwa wewe hujui jibu sahihi....tupo wengi wenye kiu ya kujua milionea inabidi awe na kiasi gani cha pesa za kitanzania
 
Duh!
Hili swali bwana.
Anyway, swali juu ya swali.
Unaweza kua na only 1mil benki kibahati bahati halafu unashindia matembele ukibadili bamia au dagaa wa Mwanza.
Je nawe ni milionea?
 
Bado. Mzunguko wa fedha katika biasha zako kwa siku ucheze kwenye milioni 10. Hivyo zidisha kwa siku 30, na miezi 12. Basi waweza kuitwa milionea. Kwa maana akija jamaa yako akiwa na shida ya milioni tano. Kwa kujiamini waweza kumwambia HIVYO VIJISENT nenda nyumbani wife atakupa nampigia simu muda huu. ukiwa kwenye hii levo basi wewe ni milionea kwa maisha ya kitanzania.

Chanzo: Mawazo yangu
 
milionea ni mtu ambaye kiwango chake cha kuingiza kwa siku ni kuanzia milioni moja na kuendelea hata kama una mil kumi lakini kwa siku huingizi hata buku wewe sio milionea upo bro
 
Millionaire: noun (femanine millionairess) a person whose assets are worth one million pounds or dollars or more.
Source: Oxford English Dictionary 11th edition.
Hii inamaana milionea wa chini kabisa awe na Tshs 1,650 x 1M dollars = 1.65Billion.
Unatakiwa uwe unamiliki mali/pesa zenye jumla ya kuanzia milioni elfu moja na mia saba(1.7b Tshs)
 
Kuanzia milioni tatu
Hahaha! kwakuwa kasema ana 2m ? na akifikisha 3m utamwambia 4m lol!

Duh!
Hili swali bwana.
Anyway, swali juu ya swali.
Unaweza kua na only 1mil benki kibahati bahati halafu unashindia matembele ukibadili bamia au dagaa wa Mwanza.
Je nawe ni milionea?
Tafsiri sahihi ni uwe na milioni moja haijalishi kama ni benki au mali ya kufikia kiasi hicho,lakini kwa thamani ya hela zetu umilionea sio dili tena siku hizi watu wanazungumzia ubilionea.
 
umilionea unaanzia sh
1,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000.00

kama huna hizo ujue wewe una chenji tu..............
 
ukiwa na millioni 100 kwenda juu unaweza kujiita millionare kibongo bongo.
 
Millionaire: noun (femanine millionairess) a person whose assets are worth one million pounds or dollars or more.
Source: Oxford English Dictionary 11th edition.
Hii inamaana milionea wa chini kabisa awe na Tshs 1,650 x 1M dollars = 1.65Billion.
Unatakiwa uwe unamiliki mali/pesa zenye jumla ya kuanzia milioni elfu moja na mia saba(1.7b Tshs)

huyo atakuwa billionare kibongo bongo.
 
Wadau nina tzs milioni mbili, je nasitahili kuitwa milionea au kuna kiwango chake? Nawasilisha!

Kuna jamaa mmoja alikutana na rafiki yake, rafiki akamwambia jamaa hongera bwana una bahati sana, jamaa akauliza kwa nini, rafiki akasema toka umeoa umekuwa milionea, jamaa akasema nipe pole, rafiki akamshangaa akauliza kwa nini, jamaa akamjibu 'kabla ya kuoa nilikuwa bilionea'
 
One million US dollars, in money (cash, investment and savings) plus your fixed and valuable assets (gari, nyumba, jewelries). Ukifika hapo, you are a millionaire. kuanzia 2 unakua multimillionaire.
FYI, 1$=1600tsh, so 1M=1600M tsh
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom