Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama nimekuudhi nisamehe!
Hahaha! kwakuwa kasema ana 2m ? na akifikisha 3m utamwambia 4m lol!Kuanzia milioni tatu
Tafsiri sahihi ni uwe na milioni moja haijalishi kama ni benki au mali ya kufikia kiasi hicho,lakini kwa thamani ya hela zetu umilionea sio dili tena siku hizi watu wanazungumzia ubilionea.Duh!
Hili swali bwana.
Anyway, swali juu ya swali.
Unaweza kua na only 1mil benki kibahati bahati halafu unashindia matembele ukibadili bamia au dagaa wa Mwanza.
Je nawe ni milionea?
Millionaire: noun (femanine millionairess) a person whose assets are worth one million pounds or dollars or more.
Source: Oxford English Dictionary 11th edition.
Hii inamaana milionea wa chini kabisa awe na Tshs 1,650 x 1M dollars = 1.65Billion.
Unatakiwa uwe unamiliki mali/pesa zenye jumla ya kuanzia milioni elfu moja na mia saba(1.7b Tshs)
Jamaa yupo sahihi....usijifanye unaipondea topic kwakuwa wewe hujui jibu sahihi....tupo wengi wenye kiu ya kujua milionea inabidi awe na kiasi gani cha pesa za kitanzania
Kuanzia milioni tatu
Wadau nina tzs milioni mbili, je nasitahili kuitwa milionea au kuna kiwango chake? Nawasilisha!
milion mbili tu?.... wewe ni thousandnaire au hundreadnaireWadau nina tzs milioni mbili, je nasitahili kuitwa milionea au kuna kiwango chake? Nawasilisha!