Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 3,884
- 3,806
Kua na adabu bwana unajua tunaifanyia nini Nchi hii au unakurupuka tu? ni wazi huna ajira ya serikali ndo mana huwezi kumuelewa mleta uzihiyo gesti na nyumbani kwako wapi kuzuri???
maana usije iponda gesti mbovu huku unakaa chanika nyumba ambayo haijaisha sakafu vumbi...
hela ya serikali ni ela ya walipa kodi wote hadi maskini vijijini... lazima itumike kwa nidhamu...
sio ya kugawa gawa posho kwa kundi la watu wachache kisa wanaitwa watumishi