Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Kuna usemi wanasema ukiwashinda wanawake umeishinda Dunia, nadhani wahenga waliona mbali sana hili hata kwenye vitabu vya Mungu inaonesha wazi wanawake ndio walikua chanzo kwenye mambo mengi ku fail. Toka kipindi cha Adam na Eva nafikiria pia ndio maana Yesu hakuwahi kua na mtume mwanamke.
Kwenye hii dunia leo ukikaa kijiweni kupiga story ukikuta vijana wa rika moja 90% ya mazungumzo yaliowaweka pamoja ni masuala ya wanawake, sijui wanawake waliwekewa nn lakin hata Biblia na maandiko ya Mungu yanasema ENYI WANAUME ISHINI KWA AKILI NA WANAWAKE.
Toka enzi zile Mungu anawatumia mitume wake huku Duniani aliwatumia wanawake kama kipimo sahihi cha uaminifu kwa wanaume na mitume aliowatuma kutenda kazi yake
1. Adam na Eva bustani ya Eden kuhusu Tunda Adam alishawishiwa na Eva
2. Samson na Delila binti wa Kifiristi
3. Mke wa Firaun na Firauni kuhusu stori ya Mussa bila mke wa firauni Musa angepoteza maisha kwasababu alikua ni uzao wa kwanza
4. Daudi na Goriath, Daudi alitestiwa na Mungu kwa kumuwekea karibu mke wa mwana jeshi mmoja wa Israel Daudi akamuuua Mwananjeshi kwa ajili ya mwanamke akafeli mtihani wa MUNGU
Kwenye bibble mtu pekee aliewashinda wanawake ni AYUBU tu otherwise wengine woote walianguka
Wanawake wanapoteza sana mielekeo yetu kama vijana tusipokua na akili tutaangamia, sikuhizi ukikaa kijiweni ukawaambia wana yule manzi pale ni mshakaji wangu wanakuona kama mshenzi kweli unawezaje kua na mashkaji opposite sex bila ku do so hii inaonesha mindset zetu zilivoathiriwa na dhambi toka zamani sana.
Yaani kuna muda tunahalalisha dhambi kuwa halali ilihali hakuna uhalali kwa sababu tu ya mazoea, haya mambo kwa nguvu za kibinaandamu hatuwezi kuyashinda tunatakiwa kua karibu sana na Mungu.
Ndugu yangu funzo hapa kuwa makini na wanawake be careful be carefully be carefully be carefully