Kuwa makini na wanawake

Emmanuel180

Senior Member
Dec 17, 2019
197
500
Kuna usemi wanasema ukiwashinda wanawake umeishinda Dunia, nadhani wahenga waliona mbali sana hili hata kwenye vitabu vya Mungu inaonesha wazi wanawake ndio walikua chanzo kwenye mambo mengi ku fail. Toka kipindi cha Adam na Eva nafikiria pia ndio maana Yesu hakuwahi kua na mtume mwanamke.

Kwenye hii dunia leo ukikaa kijiweni kupiga story ukikuta vijana wa rika moja 90% ya mazungumzo yaliowaweka pamoja ni masuala ya wanawake, sijui wanawake waliwekewa nn lakin hata Biblia na maandiko ya Mungu yanasema ENYI WANAUME ISHINI KWA AKILI NA WANAWAKE.

Toka enzi zile Mungu anawatumia mitume wake huku Duniani aliwatumia wanawake kama kipimo sahihi cha uaminifu kwa wanaume na mitume aliowatuma kutenda kazi yake

1. Adam na Eva bustani ya Eden kuhusu Tunda Adam alishawishiwa na Eva

2. Samson na Delila binti wa Kifiristi

3. Mke wa Firaun na Firauni kuhusu stori ya Mussa bila mke wa firauni Musa angepoteza maisha kwasababu alikua ni uzao wa kwanza

4. Daudi na Goriath, Daudi alitestiwa na Mungu kwa kumuwekea karibu mke wa mwana jeshi mmoja wa Israel Daudi akamuuua Mwananjeshi kwa ajili ya mwanamke akafeli mtihani wa MUNGU

Kwenye bibble mtu pekee aliewashinda wanawake ni AYUBU tu otherwise wengine woote walianguka

Wanawake wanapoteza sana mielekeo yetu kama vijana tusipokua na akili tutaangamia, sikuhizi ukikaa kijiweni ukawaambia wana yule manzi pale ni mshakaji wangu wanakuona kama mshenzi kweli unawezaje kua na mashkaji opposite sex bila ku do so hii inaonesha mindset zetu zilivoathiriwa na dhambi toka zamani sana.

Yaani kuna muda tunahalalisha dhambi kuwa halali ilihali hakuna uhalali kwa sababu tu ya mazoea, haya mambo kwa nguvu za kibinaandamu hatuwezi kuyashinda tunatakiwa kua karibu sana na Mungu.

Ndugu yangu funzo hapa kuwa makini na wanawake be careful be carefully be carefully be carefully
 

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
955
1,000
Dah mi siwezi asee.

Kwajinsi walivyo wataam potelea mbali acha ni wachimbe tu...!

"Nikifika mbinguni ntamueleza Mungu wangu nisamehee, lakin eeh Mungu wangu kwanini uliwawekea hawa viumbe mbususu taam hivii eeeh.Mi nimeshindwa nisamehee tuu mja wako"

Vitabu vyenyewe vinasema Mungu mwenye huruma huwa samehee waja wake"

So acha niwa pige mrijaaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,493
2,000
Kuna usemi wanasema ukiwashinda wanawake umeishinda Dunia, nadhani wahenga waliona mbali sana hili hata kwenye vitabu vya Mungu inaonesha wazi wanawake ndio walikua chanzo kwenye mambo mengi ku fail.... Toka kipindi cha Adam na Eva nafikiria piaa ndio maana Yesu hakuwahi kua na mtume mwanamke...
Naona umelenga upande mmoja tu as if wanaume ni malaika.
Wanaume nao wana mapungufu makubwa tu kama hao wanawake.
 

Emmanuel180

Senior Member
Dec 17, 2019
197
500
Kuna Mzee mmoja juzi kati aliniambia usione mtu anamchinja mwanamke ukadhani chizi
Wanawake wanakeraaa
For sure broo!!! Uwe ulikua humpend vzr ndio balaaa zaidi an mi nilichogundua oa mwanamke unae mpenda kweli ambaye unaweza kuvumiliaa ule ujinga wake kiufupi hakuna mwanamke asie kera sema mwanamke ambae humpendi ukiishi nae au una upendo partially partially asee utakuja zua kuuua mtu tu siku moja
 

Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
3,329
2,000
Ingekua hakuna wanawake haki ya nani wanaume tungekua vitani kila siku wanawake wanatupunguzia stress na ndio lengo la muumba
 

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
62,491
2,000
Kuna usemi wanasema ukiwashinda wanawake umeishinda Dunia, nadhani wahenga waliona mbali sana hili hata kwenye vitabu vya Mungu inaonesha wazi wanawake ndio walikua chanzo kwenye mambo mengi ku fail. Toka kipindi cha Adam na Eva nafikiria piaa ndio maana Yesu hakuwahi kua na mtume mwanamke...
Ndio maana dini yetu huwavalisha wanawake minguo myeusiiiiiiii
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,955
2,000
Kwa hiyo kuna wanaume wanawachukulia wanawake serious! watu ambao hawamaanishi wanachokiongea....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom