Kuwa makini na supermarket;usikimbilie kupokea risit utalia

PENGINE NI KUKUMBUSHANA TU WAPENDWAJANA KWANGU ILIKUWA MARA YAPILI BAADA YA KUNGATWA NA NYUKI WIKI ILIOPITA PALE SUPERMARKET YA MWENGE KUNA WANADADA WALIFANYA MAHESABU YAO SASA WAKANIPAKARATASI NILIPOFIKA NYUMBAN SIJUI KITU GAN NIKAJIULIZA MBONA NIMELIPA HELA NYINGI KWA VITU GANI NILIPOANZA KUHESABU NIKAKUTA KUNA VITU NILINUNUA VYA 4500 KWA KUWA SIKUWA NAANGALIA WAKAWA WANA VI DOUBLE SO IKAWA SHUGHULI NIKAPITA ASBH YAKE KUWAELEZA NIKAPEWA KARIPIO KALI KAMA NAANDIKIWA TALAKA OOH VIKIONDOKA HAAPA JUU YAKO ATUHUSIKI TUTAJUAJE SIE TUSHAANDIKA NA MAHESABU YASHAPELEKWA..NIKAWAAMBIA AHSANTEN NASHUKURUBINAFSI KAMA MIMI NILIWAAMBIA MKIONA HAPA BASI NIMEKUJA MSIBA WA BOSS WENU SABABU NAMJUA KILA LA KHERISASA JANA NIKAHAMIA PALE UBUNGO OIL COM KUSEMA ILE NIFANYE MANUNUZI KKIDOGO YA MAMA DIDY..UNAJUA TUSHAZOEA KARIAKOO LAKINI TUKISEMA TUSIGUSE NA VYA SUPERMARKET HAWA WAWEKEZEAJI WATAFUNGASHA VIRAGO ,,ALIPOKUWA ANAWEKA KWENYE MACHINE FASTA INASOMA ..MWISHSO AKANIAMBIA ALFU 37500 NIKAMWAMBIA EEH..MMH UNAWEZA KUWEKA TENA OOH USITUPE USUMBUFU NA MENGINEYO..MARA AKAITWA MTU AKAJA KUBONYEZA MADUDE YAO IKAFUTIKA AKAMBIWA ANIWEKEE TENA VITU VYANGU NDUGU ZANGU MWISHO WA USIKU NIMELIPA 28,500 ALICHOFANYA ANAJUA SASA NIKAONA WALE NDUGU ZANGUNI WA NAOPENDELEA GAME NA KWINGINEKO MSIAMINI SANA HAYA MAKARATASI MNAYOPEWA MWISHO WA SIKU WANAUWEZO WA KUFUTA WALICHOANDIKA WAKAWEKA YAO NA KUPRODUSE RISIT NYINGINE PUNGUFU YA ULIOTOAWAZO TUHATA UWE NA MAPACHA UMEBEBA AKIKISHA KABLA YA KUONDOKA VITU VYA KO VINATAALI NA BEI ULIOISOMAKILA LA KHERI NA WEEKEND NJEMA KAMA UNAYOWAKO pdidy mwana wa mkulima
Thanks for a good advice.
 
Watanzania tujitahidi ku support local shops na local market. Labda kwa vitu mbavyo havipi kwenye maduka ya mtaani ni vizuri ujenga uchumi ya sehemu unayoishi.
 
Yaani mtoto wa mkulima nakuamini kwa 100% kwani mara kibao nikitinga na Mwanangu Supermarket nyingi huwa nashangaa jumla ya gharama kuwa juu hata kama kichwani kwa mahesabu ya kujifunzia chini ya mti nimepiga prior to submission kwenye kidesk chao.
Ss hv ni jicho kwa jicho item to item
 
Aisee huo mchezo wameuanza zamani itakuwa, nakumbuka mwaka juzi nilinunua kitu kiliandikwa elf 29000 pamoja na vitu vingine makadirio ingekuwa kama 35 hivi. Nikashangaa naambiwa elf 63. Nilivyotoka nje kuangalia risiti kile kitu kumbe ni elf 50.
 
Pale game kama pesa yako haitoshi na unahitaji bidhaa wale wadada wanaenda kwenye chumba cha kudhibiti bei ya bidhaa na kuweka lebo ya bei mliyokubaliana lakini mnagawana sawa{kama bidhaa ni elfu 20 unalipa tano na wao wanachukua tano] pia supermarket vitu ni ghali kwa hapa kwetu tofauti na nairobi au kisumu
 
Pale game kama pesa yako haitoshi na unahitaji bidhaa wale wadada wanaenda kwenye chumba cha kudhibiti bei ya bidhaa na kuweka lebo ya bei mliyokubaliana lakini mnagawana sawa{kama bidhaa ni elfu 20 unalipa tano na wao wanachukua tano] pia supermarket vitu ni ghali kwa hapa kwetu tofauti na nairobi au kisumu
 
hawa ni wezi. Unaona kitu imeandikwa bei na unapiga hesabu kisha unaambiwa hesabu zingine kabisa. Nchi yetu, jamani! Basi vituo vya mafuta ndo tunamalizwa hasa! Ijui nihamie nchi gani?

mkuu pale ubungo wana hako kamchezo ushapitiwa nini???ukienda unakuta bei kwenye mzigo alafu ukifika unaambiwa kuna bei imebadilika wanaita vijana fulan wa kiume ...wanajifanya kuwafokea wale walio ndan ati kwa nini ambadilishi m najiuliza mbona kila siku nakuta wanafokea watu kubadilisha bei yaanihizo bei zinabadilishwaga gafla wateja wakiingia ama?? Mmh uko kwenye mafuta usifike wengine tumepaki magari wala atutaki hedeki kabia mkulu mambo ya kujaziana upepo akuna anaetaka duniani
 
JK alisema watanzania hawaajiliwi kwasababu ni wadokozi japo watu walimkandia sana kwa kauli yake. Mimi nikipata fedha ya maana nitaleta wafanyakazi kutoka indosnesia, bangladesh, phillipines etc coz wananidhamu ya kazi na hawana majibu kama hayo mliyoeleza yaani hata ukipanda ndege za tz wahudumu wanakuona kama mbwa kwa sisi weusi tusiovaa suit
 
Viduka vya mitaani mizani wameminya,butcher na zenyewe balaa,petro station tunajaziwa hewa, tukienda bar kujimaliza tunaongezewa bill,chumba cha kupanga madalali wanataka cha juu,tumwamini nani,kanisani watumishi hawafikishi sadaka zote, khaaa bongo kila kona wizi mtupu.

mabucha ndo balaa, kama Iringa usipime.
 
Back
Top Bottom