Kuwa makini na supermarket;usikimbilie kupokea risit utalia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa makini na supermarket;usikimbilie kupokea risit utalia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 16, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  PENGINE NI KUKUMBUSHANA TU WAPENDWA
  JANA KWANGU ILIKUWA MARA YAPILI BAADA YA KUNGATWA NA NYUKI WIKI ILIOPITA PALE SUPERMARKET YA MWENGE KUNA WANADADA WALIFANYA MAHESABU YAO SASA WAKANIPAKARATASI NILIPOFIKA NYUMBAN SIJUI KITU GAN NIKAJIULIZA MBONA NIMELIPA HELA NYINGI KWA VITU GANI NILIPOANZA KUHESABU NIKAKUTA KUNA VITU NILINUNUA VYA 4500 KWA KUWA SIKUWA NAANGALIA WAKAWA WANA VI DOUBLE SO IKAWA SHUGHULI NIKAPITA ASBH YAKE KUWAELEZA NIKAPEWA KARIPIO KALI KAMA NAANDIKIWA TALAKA OOH VIKIONDOKA HAAPA JUU YAKO ATUHUSIKI TUTAJUAJE SIE TUSHAANDIKA NA MAHESABU YASHAPELEKWA..NIKAWAAMBIA AHSANTEN NASHUKURU
  BINAFSI KAMA MIMI NILIWAAMBIA MKIONA HAPA BASI NIMEKUJA MSIBA WA BOSS WENU SABABU NAMJUA KILA LA KHERI

  SASA JANA NIKAHAMIA PALE UBUNGO OIL COM KUSEMA ILE NIFANYE MANUNUZI KKIDOGO YA MAMA DIDY..UNAJUA TUSHAZOEA KARIAKOO LAKINI TUKISEMA TUSIGUSE NA VYA SUPERMARKET HAWA WAWEKEZEAJI WATAFUNGASHA VIRAGO ,,ALIPOKUWA ANAWEKA KWENYE MACHINE FASTA INASOMA ..MWISHSO AKANIAMBIA ALFU 37500 NIKAMWAMBIA EEH..MMH UNAWEZA KUWEKA TENA OOH USITUPE USUMBUFU NA MENGINEYO..MARA AKAITWA MTU AKAJA KUBONYEZA MADUDE YAO IKAFUTIKA AKAMBIWA ANIWEKEE TENA VITU VYANGU NDUGU ZANGU MWISHO WA USIKU NIMELIPA 28,500 ALICHOFANYA ANAJUA SASA NIKAONA WALE NDUGU ZANGUNI WA NAOPENDELEA GAME NA KWINGINEKO MSIAMINI SANA HAYA MAKARATASI MNAYOPEWA MWISHO WA SIKU WANAUWEZO WA KUFUTA WALICHOANDIKA WAKAWEKA YAO NA KUPRODUSE RISIT NYINGINE PUNGUFU YA ULIOTOA

  WAZO TU
  HATA UWE NA MAPACHA UMEBEBA AKIKISHA KABLA YA KUONDOKA VITU VYA KO VINATAALI NA BEI ULIOISOMA

  KILA LA KHERI NA WEEKEND NJEMA KAMA UNAYO

  WAKO pdidy mwana wa mkulima
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wengine (shoprite) wanakamchezo ka kukuomba ulipie vitu ambavyo havitaingizwa kwenye receipt.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  ndio hao hao mku walichofanya wako ndani ya Game nimejiuliza wamelizwa wangapi kwa kumi kumi hizi jamani embu angalien hawana hata haya watoto wetu wanakosa pampas za kuvaa wao wanatuibia just kupress machine haya labda ndio chukua chako mapema
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nshajua ila mimi na piga kabisa bei ya vitu kabla sijalipa na lazima vitally vinginevyo nawaachia hapo hapo kama vimetofautiana..
   
 5. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Duh! Ebwanae. Au ndiyo keep change ya lazima...
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  ndugu yanugu ukiwaachia na huu mgao wa umeme wale madada si wanaugeuka mradi wa meremeta pale afrikasana ama lasvegas
  jitahdi uwaeelekeze mpwa
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu Pdiddy yalinikuta game wend iliyopita nilikuta buddle moja ya vitu
  mbalimbali km saa moja,katochi,kisu,wine opener n.k bei iliyobandikwa ilikuwa 55,000/=
  nikakapenda nikakachukua kufika kulipia akaniangalia wakati nahesabu hela cz najua amount
  akakiingiza kwenye king`amuzi mara naonyeshwa screen ni 67,500/= alivyomjanja hajapress
  risiti nikakomaa sio bei iliyoandikwa,mwite boss wako akaanza kujisua sua kwa sababu nimezuia
  foleni matron wao akona kuja akamwambia ingize hizi no manually tuone kweli ikasoma ile 55,000/=
  sikuchukulia maanani sana nikijua labda bado kashamba kale kabinti au kaliona pochi iko vyema kakashindwa kuomba
  naamini na natoa angalizo wizi huu upo!!!!
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sijui na mimi wananiongezeaga bei ya MIKATE????
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi sina tatizo soko langu Tandale uzuri kule hamna matatizo kama ya kwenu huko
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mm hapo Game niliambiwa niliambiwa nnaweza nkafanya manouver nkalipa hela pungufu zikapigwa harakati mle ndani badala ya 75000 ikalipwa 50000!
   
 11. T

  The Priest JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Basi nshaibiwa sana,huwa nashangaa eti mashine hai sense hadi aingize manually kumbe wizi mtupu.
   
 12. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  shoprite. imalaseko, ndio usiseme! kuna siku nilizidishiwa 20,500! sikukubali! wakamwita bosi wao kumbe nae yuko nao. jioni wanagawana. maana alikua anawatetea bila aibu. ila pesa yangu walirudisha, na ikawa aibu kwao kwani wateja wote wakalalamikia mchezo huo
   
 13. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lakini mi imenikuta vice-versa,nilinunua vitu vyenye thamani ya 25500Tsh/=hapo hapo game,lakini kwenye malipo nikalipa 22300!
   
 14. V

  Vonix JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  ishastuka nilizoea kwenda pale shopprite kamata siendi tena yasije nikuta hayo naenda zangu buguruni kwa mnyamani kununua mkate.
   
 15. u

  ureni JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Asanteni sana next time nikienda shoprite au game nitakua very very careful huwaga nilikuaga nalipa tu naiamini ile sensa,kwa wabongo transaction yeyote ya pesa tunatakiwa tuwe makini iwe benk au ATM
   
 16. M

  Malila JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Viduka vya mitaani mizani wameminya,butcher na zenyewe balaa,petro station tunajaziwa hewa, tukienda bar kujimaliza tunaongezewa bill,chumba cha kupanga madalali wanataka cha juu,tumwamini nani,kanisani watumishi hawafikishi sadaka zote, khaaa bongo kila kona wizi mtupu.
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe hata mimi hii kitu ishawahi kunitokea .. kama umenunua mafuta ya kual let say chupa moja au maapple .. wana daouble .. wewe sio rahisi kushtukia
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh ntatuchunguza nione mambo yanakuwaje pale, ila mimi hupiga hesabu kila nnapochukua bidhaa
   
 19. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wezi. Unaona kitu imeandikwa bei na unapiga hesabu kisha unaambiwa hesabu zingine kabisa. Nchi yetu, jamani! Basi vituo vya mafuta ndo tunamalizwa hasa! ijui nihamie nchi gani?
   
 20. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wasithubutu kabisa kuniletea ujinga waho, konda akinizingua kwa 50/= ni issue sasa ndio iwe supermarket....wasijaribu kabisa.....
   
Loading...