Kuwa makini na mtu unayemuazima gari

Mbao Tanzania

Senior Member
May 31, 2021
158
250
Sio kila mtu ni mstaarabu. Kuna marafiki, jamaa na ndugu zetu wasiojua kuthamini cha mtu mwingine.

Yaani wao kila kitu wanachukulia poa tu sababu ya kujuana. Wanajua hutawafanya chochote.

Hivi kwa mfano, umemuazima gari mtu wako wa karibu kwa upendo kabisa halafu akaenda kulitumia hivi utamchukulia hatua gani?

Screenshot_20211129-144213.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom