Kuwa Baba wa Nyumbani Kumbe Kazi!

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,193
Katika mazungumzo mengi tumezoea kuwasikia akina "mama wa nyumbani", huwa tunasahau kuwa pia wapo "baba wa nyumbani". Hebu angalia adha hizi anazopata baba wa nyumbani halafu utoe mawazo yako kama ni sahihi katika jamii zetu za kiafrika au hapana:-
 
Attachments

  • Baba wa nyumbani.jpg
    Baba wa nyumbani.jpg
    8.7 KB · Views: 738
"Ukimaliza kafue nepi za mtoto na kudeki choo,mtoto uji anakunywa saa 4 saa 6 utampikia viazi na nkirudi unifumue weaving langu.
Halafu ile chenji ya sokoni ya jana hujanrudishia"
 
Hayo majanga sasa!
 
"Ukimaliza kafue nepi za mtoto na kudeki choo,mtoto uji anakunywa saa 4 saa 6 utampikia viazi na nkirudi unifumue weaving langu.
Halafu ile chenji ya sokoni ya jana hujanrudishia"

Kama ndio hivyo bora nirudi Kimbiji
 
Katika mazungumzo mengi tumezoea kuwasikia akina "mama wa nyumbani", huwa tunasahau kuwa pia wapo "baba wa nyumbani". Hebu angalia adha hizi anazopata baba wa nyumbani halafu utoe mawazo yako kama ni sahihi katika jamii zetu za kiafrika au hapana:-

Baba wa nyumbani ni ujinga na uvivu tu,kwa kawaida mwanaume hutakiwi kushinda nyumbani hata kama huna kazi,
inatakiwa ujichanganye na wengine ili uweze kupata michongo.
 
Kwa jeuri ipi? Labda ukabebe zege maana halina interview.
 
huyo sio akili yake kabisa hiyo lazima kuna namna
a

hkuna cha namna wla nini.... hiyo ndo dawa yao wanaume wavivu
unakuta jitu vivu, halitaki kazi. kula kulala tu ndo habar yake, kisa wewe (mwanamke)
unafanya kazi nzuri...
 
"Ukimaliza kafue nepi za mtoto na kudeki choo,mtoto uji anakunywa saa 4 saa 6 utampikia viazi na nkirudi unifumue weaving langu.
Halafu ile chenji ya sokoni ya jana hujanrudishia"

huhuhuuuu hadi ajifunze kumvalisha mtoto nepi atandike kitanda kila kazi
 
Hivi huyo mwanaume anaeshinda nyumbani bila kutafuta kipato wala mishipa ya aibu haimtikisiki atakua ana matatizo ya ziada huyo.
 
Ndoo ukutee yupoo kwenye nyumbaa tena yakupangaa majirani pembeni lazimaa waseme mkee ka mloogaa mume iwe naisiwee kaaah aibuu etii?
 
Katika mazungumzo mengi tumezoea kuwasikia akina "mama wa nyumbani", huwa tunasahau kuwa pia wapo "baba wa nyumbani". Hebu angalia adha hizi anazopata baba wa nyumbani halafu utoe mawazo yako kama ni sahihi katika jamii zetu za kiafrika au hapana:-
Vumilia mkuu Yote yana mwisho.
 
Ndoo ukutee yupoo kwenye nyumbaa tena yakupangaa majirani pembeni lazimaa waseme mkee ka mloogaa mume iwe naisiwee kaaah aibuu etii?

Muda huo wife yuko kazini anatafuta ugali wa familia,naye karogwa na mumewe?
 
a

hkuna cha namna wla nini.... hiyo ndo dawa yao wanaume wavivu
unakuta jitu vivu, halitaki kazi. kula kulala tu ndo habar yake, kisa wewe (mwanamke)
unafanya kazi nzuri...

Tena hapo anatamani wife atoke na mtoto akamwache kwa bibi yeye abaki ananing'iniza tu na remote mkononi!
 
Back
Top Bottom