Kuwa Baba wa Nyumbani Kumbe Kazi!

"Ukimaliza kafue nepi za mtoto na kudeki choo,mtoto uji anakunywa saa 4 saa 6 utampikia viazi na nkirudi unifumue weaving langu.
Halafu ile chenji ya sokoni ya jana hujanrudishia"

Halafu wali wa jana umeeuunguza; ulikuwa unanuka moshi kama umetoka kwenye tanuru! Leo usiunguze Dear na angalia MKONO wako kwenye chumvi ya mboga! Ukiizidisha utakula mwenyewe hiyo Uvinza yako:)
 
Back
Top Bottom