Kuvuta Sigara na kutumia bia TZ ni uzalendo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuvuta Sigara na kutumia bia TZ ni uzalendo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msambaa mkweli, Jun 19, 2012.

 1. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba kuuliza Je nitakuwa sahihi kusema kwa nchi ya Tanzania mzalendo ni yule ambaye anatumia pombe na sigara, kwa mujibu wa katiba 2012/2013?
   
 2. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Katiba inasemaje?

  Nahisi unazungumzia bajeti tegemezi ktk vileo na fegi.
  Acha kupiga puya na kuvuta moshi. utaisaidia sana hii nchi yetu kupata vyanzo vipya vya mapato.
  kwani wewe mgosi unapiga puya! wewe si sala tano na suna zake zote au?
   
 3. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wananchi kunyweni sana bia, soda na vuteni sana sigara kuikoa nchi yenu
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Tuumize mapafu huku vyanzo vingine vya mapato kama Twiga wetu na madini vikichukuliwa live?
   
Loading...