Kuvunjwa kwa uzio wa hoteli ya Crest, serikali yagharamia matengenezo.

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,037
22,728
Nasikia baada ya TANROADS Arusha kubomoa uzio wa wa hoteli ya Crest iliyofunguliwa na Raisi, ujenzi wa haraka umefanyika kwa gharama za walipa kodi. Yawezekana hata fidia imelipwa kinyemela - je, twaweza kuambiwa kiasi kilichotumika ? Isije ikawa huu ulikuwa ni mpango wa .......
 
Nasikia ni mramba ndo mmiliki wa
hiyo hoteli,but sina uhakika............
 
Huyu Injinia Kakoko aliyevunja ule uzio kama ni yule aliyewahi kuendesha mgomo wa wanafunzi pale UDSM mwishoni mwa miaka ya themanini alipokuwa mwanafunzi wa engineering, basi huenda bado ni mtu machachari sana na anaweza kusumbuana nao kwa muda mrefu labda kama amebadilika siku hizi baada ya kukua.
 
..wamiliki wa hoteli nao ni Watanzania na wanalipa kodi.

..pia tukumbuke kwamba kuna Watanzania waliojiriwa ktk hoteli hiyo.

..hapa panatakiwa watu wenye negotiation skills kuliko wababe.
 
..wamiliki wa hoteli nao ni Watanzania na wanalipa kodi.

..pia tukumbuke kwamba kuna Watanzania waliojiriwa ktk hoteli hiyo.

..hapa panatakiwa watu wenye negotiation skills kuliko wababe.

Lakini kwa nini kimya kimkya ? Pili, kiasi gani kimetumika ? Tusije tukaambiwa mabilioni kadhaa !
 
..wamiliki wa hoteli nao ni Watanzania na wanalipa kodi.

..pia tukumbuke kwamba kuna Watanzania waliojiriwa ktk hoteli hiyo.

..hapa panatakiwa watu wenye negotiation skills kuliko wababe.

Mkuu JokaKuu. Wababe ni hao wamiliki ambao wamekaidi maagizo halali kutoka kwenye mamlaka ya serikali. Na kama wamerudishiwa pesa basi ndio ninaelewa kwa nini wataalamu wanaangalia tu wakati nchi inaingia mkenge!

Amandla........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom