Kuvunjika kwa uchumba

Kwa mujibu wa sheria za ndoa za mwaka 71 kuna kifungu cha kudai fidia hata zawadi iwapo ulipotezewa muda kwenye swala la uchumba. Maadamu ulitoa mpaka mahari huyo mtu alikusudia kukupotezea muda, tafuta mwanasheria mpeleke mahakamani utapata haki yako sasa hivi matukio ya kuuana kuhusiana na maswala ya mahusiano yamekuwa mengi hilo litatoa fundisho na kuwasaidia wale wanaopenda kuchukua sheria mkononi kujua kumbe wanaweza kupata haki zao bila kuchukua sheria mkononi.
 
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9...

 
Back
Top Bottom