Kuvunjika kwa uchumba

Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9 ,lakini ajabu mwanamke amekuja kunitamkia kuwa tusitishe mahusiano yetu na hayupo tayari kuolewa na Mimi inshort hanitaki Tena , Sasa nauliza je Sheria inasemaje yanapotokea Haya

Naombeni ushauri na maana taratibu za kutaka mahali yetu irudishwe inaendelea lakini wazazi wa binti sio waungwana kila siku wanatupiga maneno tu , naombeni ushauri
Nenda polisi kitengo cha jamaa kipo utapewa mwongozo.
Usisahau na kudai pete yako
 
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9 ,lakini ajabu mwanamke amekuja kunitamkia kuwa tusitishe mahusiano yetu na hayupo tayari kuolewa na Mimi inshort hanitaki Tena , Sasa nauliza je Sheria inasemaje yanapotokea Haya

Naombeni ushauri na maana taratibu za kutaka mahali yetu irudishwe inaendelea lakini wazazi wa binti sio waungwana kila siku wanatupiga maneno tu , naombeni ushauri
Kafungue madai kupitia sheria ya ndoa kupotezewa muda
 
Polisi hausiki hpo nenda mahakani kafungue madai ya kupotezewa muda
 
Pole sana, kuna kijana mmoja pia yalimtokea kama yaliyo kutokea wewe...Sema yeye alikuwa na akili za matope, alitoa mahali kupitia muamala wa simu.
 
Oooh ok sawa nashukuru ndugu na vipi nasikia Kuna kudai pia zawadi na pesa ambazo alikuwa akipewa mkiwa wachumba Kuna ukweli kwenye hili.
Ushahidi upo? Umeshasema ni zawadi
 
Oooh ok sawa nashukuru ndugu na vipi nasikia Kuna kudai pia zawadi na pesa ambazo alikuwa akipewa mkiwa wachumba Kuna ukweli kwenye hili.
Hee
Unadaije zawadi mkuu??
Ukimpa mtu zawadi umempa,hakuna mambo ya kudaiana zawadi.

Si ajabu ukute hata wewe ulimtumia Sana binti.
 
Umeeleza kwamba katika hiyo familia mabinti hawaolewi?Kuna shida sehemu.Tumia watu wa karibu yao kudodosa ili upate tu hata funzo la kuja kuwapa watoto wako mbeleni.
 
Pole Mkuu kapata mhuni anayesimamia kucha. Atampelekea moto wa kutosha kisha atasepa hapo ndiyo atakaporudi kwako kuomba radhi ili mrudiane.

Mara nyingi huwa inakua ivyo mkuu, anamwacha uyu kisha anaenda kwa mwingine akijua ni bora zaid ya yule wa mwanzo kumbe anajiingiza kwenye fireeeeee🔥🔥🔥🔥
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unaona sasa

Huyo dada hana kosa

Aliingia kwenye penzi kama blow back effect ya penzi lake la kwanza

Hakumpenda huyu mpya kama inavyotakiwa

Hivyo kafika pahala kapata mtu anaemhitaji

The nigga has no choice zaidi ya kumuachia huyo dada anaenda kwa huyo mtu bila masharti yeyote

Na huyo kaka atafute kiazi mwenzie

Kuhusu hoja ya hela,ndio maana nikasema ni emotions zenu tu

Nyie mmeona sana msaada wa hizo hela wakati anamsadia huyo dada,jee huyo dada alikua hamsaidii huyo kaka vingine hela included?Jibu ni Yes

Nyie mpo na sympathy na huyo kaka,ndio maana nasema ni emotions zimewakumba

Kwenye mapenzi hakunaga makosa ya yeyote..ni kwamba people are faithful as long as their options

Dont take things personal,kaenda kwa mwingine maana you are not worthy it,chapa lapa nenda kwa anaekukubali,mengine ni laana za kingese tu
Sema bro, unaongea ukweli, ambao unauma kinouma, ila ndo ukweli.
 
Ni ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha.

Nakumbuka mimi ile wiki ya harusi nilinusurika ajali mara 5, 2 zikiwa natembea kwa miguu na 3 nikiwa nadrive..kama nisingekuwa kamili leo hii nisingekuwa hapa
Point iko hapa,hii ni vita ya kiroho tafuta viongozi wa dini uwashirikishe
 
Back
Top Bottom