Kuvunjika kwa kundi la vichekesho la Orijino Komedi

Sekioni David mzee wa ubunifu kuanzia City Sounds Channel 5 hadi Orijino Komedi abuni kitu kingine kwani hii iliyovunjika imemfaidisha sana.
 
Hivi haya majibu unayotoa umeyfanyia researh ama unapiga ramli kama katiba inayochongwa dodoma?

Hakuna maendeleo yasiyotengenezwa. Maendeleo ya sanaa yanahitaji nurturing. Ongezeko la maarifa linahitaji maarifa mapya. Wamekuwa wakifanya na TBC, sijui wewe ni TBC au namna gani. Hivi kweli unaweza kuthubutu kusema vichekesho havihitajiki tena?

Kama wewe mwenyewe huna ufahamu elekevu, utawezaje kufanikisha programs improvements and sustainability? Ninaona mypia ya aina ya kiwango cha juu sana kusema eti kundi limesambaratika kwa sababu mahitaji ya vichekesho yamefika mwisho. Yamefika mwisho kwa serikali kupitia tbc au kupitia audiences?

TBC ilikuwa na kile kikundi na ilifahamu umuhimu wa quality nzuri za programs zao. Kama wamefika mahali hawaendelei, wanashuka hadi wanakufa, nini maana ya kuwa na usimamizi? Tukisema serikali haina uwezo wa kuboresha ama kuendeleza kitu chochote kizuri tutakuwa tunakosea wapi? Hamkujua kuna siku watazeeka, watatajirika ama wataacha kwa sababu moja ama nyingine? Nionyeshe succession plan kama siyo kutetea mfumo kipofu wa uongozi wa serikali na vyombo vyake.

Kubali ukwlei, ujifunze vyema uwe huru!.

Sijui kama umesoma nilichoandika au umekimbilia tu kujitetea.

Sidhani kama ni siri kuwa Masanja, Mpoki na Joti wana nafasi nzuri kiuchumi kwa sasa, sambamba na majina makubwa kupitia shughuli waliyokuwa wanaifanya (vichekesho) ukilinganisha na awali....

Hivyo NASISITIZA, kuihusisha TBC au CCM na anguko lao ni kukosa kufikiria mambo kwa uhalisia.

Hivi unafikiri kama bado wangekuwa EATV kuna cha zaidi wangefanya tofauti na hapo walipofika sasa ? kwani wale wanaoendelea pale EATV kwa sasa ni nini cha maana wanachofanya zaidi ya kuendeleza yaleyale yaliyozoeleka.

Ndio maana nimeandika kuwa, kama wangekuwa na ufahamu, maono au vision ya "proffession" yao, basi wasingeishia kujinunulia tu magari, bali wangetengeneza studio/office, na wangenunua vifaa, wangeajiri scriptwriters wa comedy plus crew yenye weledi, ili watengeneze kazi zenye maana zaidi...nikatoa mfano wa comedy za wenzetu nje...hata hapo jirani tu Kenya wana mengi ya kutufunza kwenye ulimwengu wa komedia za TV.

Na kama ambacho wangetengeneza TBC wasingekuwa tayari kuhimili, si zipo TV nyingine.....na hivi tayari wana majina....yaani ukiajiriwa houseboy utajibweteka mpaka bosi atakapoamua kukuendeleza...alafu ukizeeka na umasikini unalaumu kuwa bosi hakuwa anakujali na chance zilikuwepo ?

Kutoendelea kwao ni matokeo ya akili zao wenyewe na sio TBC wala nini, so uwe unasoma vema kabla ya kujibu ndugu.
 
tatizo wazazi!!! mkuu vipaji tunavyo fikiri mzazi huhitaji mtoto kuwa na elimu fulani si jambo baya lakini kiukweli elimu sahihi ile ya kukuza kipaji cha mtoto, wakati huo huo mfumo wa elimu umeozaaa!!! itafikia mahali mpaka kwenye elimu tutarogeana!!! Phd za bure,FIRST CLASS ZA GEST !!! maprofesa uchwaroo na kibaooo.. mzazi anataka elimu , ajira hakuna ??????? sanaa kujuana???
 
Sijui kama umesoma nilichoandika au umekimbilia tu kujitetea.

Sidhani kama ni siri kuwa Masanja, Mpoki na Joti wana nafasi nzuri kiuchumi kwa sasa, sambamba na majina makubwa kupitia shughuli waliyokuwa wanaifanya (vichekesho) ukilinganisha na awali....

Hivyo NASISITIZA, kuihusisha TBC au CCM na anguko lao ni kukosa kufikiria mambo kwa uhalisia.

Hivi unafikiri kama bado wangekuwa EATV kuna cha zaidi wangefanya tofauti na hapo walipofika sasa ? kwani wale wanaoendelea pale EATV kwa sasa ni nini cha maana wanachofanya zaidi ya kuendeleza yaleyale yaliyozoeleka.

Ndio maana nimeandika kuwa, kama wangekuwa na ufahamu, maono au vision ya "proffession" yao, basi wasingeishia kujinunulia tu magari, bali wangetengeneza studio/office, na wangenunua vifaa, wangeajiri scriptwriters wa comedy plus crew yenye weledi, ili watengeneze kazi zenye maana zaidi...nikatoa mfano wa comedy za wenzetu nje...hata hapo jirani tu Kenya wana mengi ya kutufunza kwenye ulimwengu wa komedia za TV.

Na kama ambacho wangetengeneza TBC wasingekuwa tayari kuhimili, si zipo TV nyingine.....na hivi tayari wana majina....yaani ukiajiriwa houseboy utajibweteka mpaka bosi atakapoamua kukuendeleza...alafu ukizeeka na umasikini unalaumu kuwa bosi hakuwa anakujali na chance zilikuwepo ?

Kutoendelea kwao ni matokeo ya akili zao wenyewe na sio TBC wala nini, so uwe unasoma vema kabla ya kujibu ndugu.

teh teh kweli we fyatu na umefyatuka vilivyo

much respect 4 ur comments
 
anguko gani!!!? tetesi tu izi? acha bangi? tatizo mnapost tu kwa tija zenu!!! ulitaka nije mawazo yako mpumbavuu !! lazima nijadili kwa upana kama baadhi ya watu humu walivyojadili ..post yako hapo juu ni tetesi tu lazima tujadilie vitu vingine vinavyohusiana na hiki, unataka tujadili watu !!!!$hame on you !! inawezekana hata mishahara yako yote ya mwaka mzima hufiki hata robo ya pesa tangazo moja la joti!! bado unang'ang'ania huko nyumbani ndio maana masikini wengi kwa jinga huu !!! MTASHUSHA HADHI YA JF kama mahala pa kuchambua mambo kwa kina!! Fyatu weweee!!
 
Kwa Kiasi Fulani Nakubaliana Na Wewe Kwani Kwa Mfano tu Hai Ambao Nina Uhakika Nao Mtu Kama Joti Sidhani Kama Atakuwa na Hamu Tena Ya Kuendelea Na Comedy Wakati Kwa Kufanya Kwake Matangazo Makubwa Mawili tu Yale Ya Tigo Amepata AU Amelipwa Jumla Ya Tsh Milioni 80, Milioni 40 Kwa Kila Advert na Kuna Lingine Nalo Amelifanya Mwezi Uliopita ambapo Amelipwa Tsh Milioni 15 na Pia Tusisahau ile Picha Yake Ya Comedy ambayo Iliingia Sokoni Mwezi May Mwaka Huu Na Wahindi ( Wasambazi ) Wamlipa Tsh Milioni 50 na Sasa Mzigo Wote Wanausimamia Wao. Hivi Kwa Jumla Ya Pesa AU Malipo hayo Lukuki Atakuwa tena Na Hamu Ya Kutufanya Tucheke Kwa Comedy Zake? Sasa Wana Hela.

Mh! Ila ametoka mbali. Ila filamu sidhani kama ni wahindi.
 
Dah!
Dunia Kweli Haiko Sawa Yaani Mm Na Kukesha Kwangu Kote Mashuleni Hadi Chuo Nalipwa Laki Tano Kwa Mwezi Joti Kazi Ya Wiki Analipwa Karibia Milioni Mia,
Kweli Ubepari Ni Unyonyaji

Hahahaaa! Wewe huburudishi kiongozi! Waburudishaji ndio wanaofaidi.
 
Dah!
Dunia Kweli Haiko Sawa Yaani Mm Na Kukesha Kwangu Kote Mashuleni Hadi Chuo Nalipwa Laki Tano Kwa Mwezi Joti Kazi Ya Wiki Analipwa Karibia Milioni Mia,
Kweli Ubepari Ni Unyonyaji

do you have a special talent? joti got one
 
Back
Top Bottom