Hebu jifunze kuandika kwanza unaposema kila mtu alikuwa hang'oki kwenye Tv kwahiyo na mimi umenijumuisha humo?
Nadhani hawakujua kwamba hakuna kitu chochote kiendacho mikononi mwa serikali ya ccm huboreshwa ama kubaki kama kilivyo au kwa lugha nyingine srikali ya ccm haijawahi kuwa na record ya kutunza ubora wa jambo lolote isipokuwa ufisadi na ugaidi.
TBC yenyewe sasa ikowapi baada ya kumpoteza nguli Tido Mhando?
Hiyo ndiyo serikali ya ccm!

We mtoto wa bavicha chunga mdomo wako.....Mpaka leo Tanzania ina Amani tele ni kwasababu
ccm inaitunza na kuiheshimu.

sawa....
Kwa nini unahusisha kuvunjika kwao na ccm na sio mafanikio yao ya kiuchumi na umaarufu ? haswa kwa Joti, Mpoki na Masanja ?
Na ni kwa vipi mlitarajia waendelee kuwa pamoja daima milele ili hali hata kile walichokuwa wanafanya KISANAA na KIUCHESHI walishafika ukingoni ?
Ni kwa muda mrefu sana wamekuwa wakisafiria nyota ya MAJINA/UMAARUFU kuliko sanaa ya vichekesho waliyopatia umaarufu kwayo.
Na kwa kuwa wana akili za "kitanzania" mifuko yao imenenepa bila kufanya maboresho yoyote ya kipindi chao, miaka karibia kumi wanafanya kilekile walichofanya miaka iliyopita.
Wangekuwa na VISION za "mbele" saa hizi wangeshakuwa na kipindi standard, kama comedy za Mr Cooper, Martins, Family Matters n.k, lakini wapi....mswahili akipata ni tumboni na starehe, hata kazi inayomlisha haimuhusu tena.
Ila Mpoki ana uwezo mkubwa wa kufanya "stand up comedy" na akafika mbali kama mwenzake Kansiime.
Kama si sisi tuliowaunganisha hapo awali, na kwa mantiki hiyo hata sasa hatuna ruksa ya kudsikasi kuvunjika kwa kundi lao...