Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,764
- 10,637
mjinga ni Tanganyika na watanganyika
Mbona sasa hamueleweki enyi wazenji? Nani mjinga, anayefaidi matunda ya muungano au anayedhulumiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mjinga ni Tanganyika na watanganyika
Mbona sasa hamueleweki enyi wazenji? Nani mjinga, anayefaidi matunda ya muungano au anayedhulumiwa?
lkn..utatenganisha vp mswahili wa bagamoyo na mswahili mwenzie wa unguja, au mswahili wa tanga na mswahili mwenzie wa pemba? waswahili hawa wako karibu sana ki kila kitu kushinda ukaribu wao na wahaya au wanyakyusa. nachokiona, wenye kushabikia kuvunjika muungano upande wa tanganyika , watataka kuwalazimisha (hao waswahili wa bagamoyo na tanga)kuingia ktk muungano mwingine ambao hapana shaka baada ya muda utaanza kufanyiwa hila kama unazofanyiwa muungano wa tanganyika na zanzibar... na huko zanzibar ndio" uchicheme wala uchimung'unye"..namna ushauri wa bure wa nyerere ambao ulikataliwa mwaka 1995 unavyowasaidia wazanzibar kwa sasa( kumbuka mwl alimshauri "komandoo" baada ya uchaguzi wa mwaka 1995, aunde serikali ya umoja wa kitaifa na "maalim", komandoo akaleta kibri, akakataa, lkn miaka kadhaa baadae utekelezaje wa ushauri ule ndio ulileta utulivu na amani ya kisiasa zanzibar), basi naam...na somo la..sisi "waunguja na wao wapemba", litawaumbua walioshadidia kuuvunja muungano ili wabaki ati na zanzibar yao...Ndoa ambayo baba wala mama hajulikani, siyo ndoa na mwisho wake ni kuvunjika tu......Tanganyaka yetu ilishamezwa, Zanzibar yao bado ipo, tena ina serikali.....nani mjinga.....jibu moyoni mwako....
lkn..utamtenganisha vp mswahili wa bagamoyo na mswahili mwenzie wa unguja, au mswahili wa tanga na mswahili mwenzie wa pemba? waswahili hawa wako karibu sana ki kila kitu kushinda ukaribu wao na wahaya au wanyakyusa. nachokiona, wenye kushabikia kuvunjika muungano upande wa tanganyika , watataka kuwalazimisha (hao waswahili wa bagamoyo na tanga)kuingia ktk muungano mwingine ambao hapana shaka baada ya muda utaanza kufanyiwa hila kama unazofanyiwa muungano wa tanganyika na zanzibar... na huko zanzibar ndio" uchicheme wala uchimung'unye"..namna ushauri wa bure wa nyerere ambao ulikataliwa mwaka 1995 unavyowasaidia wazanzibar kwa sasa( kumbuka mwl alimshauri "komandoo" baada ya uchaguzi wa mwaka 1995, aunde serikali ya umoja wa kitaifa na "maalim", komandoo akaleta kibri, akakataa, lkn miaka kadhaa baadae utekelezaje wa ushauri ule ndio ulileta utulivu na amani ya kisiasa zanzibar), basi naam...na somo la..sisi "waunguja na wao wapemba", litawaumbua walioshadidia kuuvunja muungano ili wabaki ati na zanzibar yao...Ndoa ambayo baba wala mama hajulikani, siyo ndoa na mwisho wake ni kuvunjika tu......Tanganyaka yetu ilishamezwa, Zanzibar yao bado ipo, tena ina serikali.....nani mjinga.....jibu moyoni mwako....
zanzibar elimu ni nature...swadakta, wapi elimu si asili yao? umeshawahi jiuliza lini wamasai walianza utamaduni wa kujitahiri na kwa nini, na nyie wazanzibar mlianza lini na kwa nini? ongea siasa ya kuvunja muungano..lkn wachana na matusi ya rejareja na kibri...soma ewe mtumwa wa allah!zanzibar elimu ni nature,dini yetu inaelimu tosha ya kidunia kila kitu kimo,muungano hatuutaki nyerere ametulazimisha tu,na hao kina SHAMHUNA hawana tena nguvu mbele ya umma ama kweli people power.na safari hii inakwenda zanzibar katika kudai nchi yetu hoja yake haina meno, tokea miaka mingi nyuma kero zipo na haziondoki.ACHA TU UVUNJIKE.
Sidhani kama dini yenu inawafanya mchome makanisa? Ktk kosa ambalo limeharibu image yenu ni hiyo tu! Adui yenu juu ya muungano ni CCM zanzibar siku mtakapoligundua hilo itakuwa mmeshachoma makanisa mengi saana!!!!!!!zanzibar elimu ni nature,dini yetu inaelimu tosha ya kidunia kila kitu kimo,muungano hatuutaki nyerere ametulazimisha tu,na hao kina SHAMHUNA hawana tena nguvu mbele ya umma ama kweli people power.na safari hii inakwenda zanzibar katika kudai nchi yetu hoja yake haina meno, tokea miaka mingi nyuma kero zipo na haziondoki.ACHA TU UVUNJIKE.
Tundu Lissu amenitoa tongotongo pale CHADEMA SQUARE, Muungano huu ni feki, sidanganyiki.
Kama muungano wenyewe haueleweki bora uvunjike
Shamhuna hayo ni mawazo yake na mawazo ya wenzake walioko serikalini. Lakini mioyoni mwa Wazanzibar asilimia kubwa na Watanganyika asilimia kubwa muungano haumo kabisaa. Hasa kwa Tanganyika ni hasara tupu na hakuna faida yoyote.
zanzibar elimu ni nature,dini yetu inaelimu tosha ya kidunia kila kitu kimo,muungano hatuutaki nyerere ametulazimisha tu,na hao kina SHAMHUNA hawana tena nguvu mbele ya umma ama kweli people power.na safari hii inakwenda zanzibar katika kudai nchi yetu hoja yake haina meno, tokea miaka mingi nyuma kero zipo na haziondoki.ACHA TU UVUNJIKE.
wewe mgeni wa siasa sakimagharibi. Alshabab hawakuwahi kuivamia kenya kabl ya kenya kuivamia somalia ugomvi ulikua ni wao wenyewe wasomali.
Kenye ilivyojipendekeza ndio hayo leo wanayakuta walioyatafuta.
Lakini pia hujui kua obama alifikiria njia ya urahisi ya kuwasaidia wakenya bila ya kulaumiwa na wamarekani wenzake, ndio alipowashauri wakenya kuingia vitani ili wapate misaada.
Ukiangalia historia utagundua kua wamarekani waliingia katika vita vya somalia na walishindwa kwasababu wasomali huondoa tafauti zao zote wanapowaona wamarekani ndani ya ardhi yao.(husema wamarekani wanainajisi ardhi yao)
sasa wakatafuta watu wasio na akili wakawaingiza vitani ambao ndio kenya. Musisome habari za jamiiforam tu someni na habari za nje ya hapa mutajivunza sana dunua inavyoendeshwa.
Huyu jamaa anasema hautaki Muungano. Kaamua kubaelezea bajamaa kupitia mtandao kwa kutumia uhuru wake wa kikatiba!
State or Territory | Population estimate for 2011 | |
1 | California | 37,691,912 |
2 | Texas | 25,674,681 |
3 | New York | 19,465,197 |
4 | Florida | 19,057,542 |
5 | Illinois | 12,869,257 |
6 | Pennsylvania | 12,742,886 |
7 | Ohio | 11,544,951 |
8 | Michigan | 9,876,187 |
9 | Georgia | 9,815,210 |
10 | North Carolina | 9,656,401 |
11 | New Jersey | 8,821,155 |
12 | Virginia | 8,096,604 |
13 | Washington | 6,830,038 |
14 | Massachusetts | 6,587,536 |
15 | Indiana | 6,516,922 |
16 | Arizona | 6,482,505 |
17 | Tennessee | 6,403,353 |
18 | Missouri | 6,010,688 |
19 | Maryland | 5,828,289 |
20 | Wisconsin | 5,711,767 |
21 | Minnesota | 5,344,861 |
22 | Colorado | 5,116,769 |
23 | Alabama | 4,802,740 |
24 | South Carolina | 4,679,230 |
25 | Louisiana | 4,574,836 |
26 | Kentucky | 4,369,356 |
27 | Oregon | 3,871,859 |
28 | Oklahoma | 3,791,508 |
29 | Puerto Rico | 3,706,690 |
30 | Connecticut | 3,580,709 |
31 | Iowa | 3,062,309 |
32 | Mississippi | 2,978,512 |
33 | Arkansas | 2,937,979 |
34 | Kansas | 2,871,238 |
35 | Utah | 2,817,222 |
36 | Nevada | 2,723,322 |
37 | New Mexico | 2,082,224 |
38 | West Virginia | 1,855,364 |
39 | Nebraska | 1,842,641 |
40 | Idaho | 1,584,985 |
41 | Hawaii | 1,374,810 |
42 | Maine | 1,328,188 |
43 | New Hampshire | 1,318,194 |
44 | Rhode Island | 1,051,302 |
45 | Montana | 998,199 |
46 | Delaware | 907,135 |
47 | South Dakota | 824,082 |
48 | Alaska | 722,718 |
49 | North Dakota | 683,932 |
50 | Vermont | 626,431 |
51 | Washington, DC | 617,996 |
52 | Wyoming | 568,158 |
dini ingekuwa na uwezo wa kuwasaidia, kusingekuwa na mashoga na wala unga/mateja kiasi kile....akili za mbayuwayu changanya na za kwako.
Wapewe nafasi ya kutoa maoni. Muungano utaeleweka. Kwanini waburuzwe!
Inawezekana partner hakutaki, amepata mwengine au anataka akae single, unalazimisha!!!!!!!!!!!!!
mkuu bado hujawaelewa, muungano hawautaki kabisa, kwani unawazuia kuanzisha sharia law na kujiunga na vyama au taasisi fulani za kimataifa za dini yao.