Kuvunja Kanuni ili Kusimamia Kanuni: Sitta, Mwakyembe na Chikawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuvunja Kanuni ili Kusimamia Kanuni: Sitta, Mwakyembe na Chikawe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Jan 16, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada ya Chikawe kutoa karipio kwa Sitta na Mwakyembe kwa kuzungumza nje ya baraza la Mawaziri kuhusu Dowans ni vyema tukajiuliza; Je Sitta na Mwakyembe wamekiuka kanuni? Je Chikawe ana mamlaka ya kuwaonya Mawaziri wenzake? Kuvunja Kanuni Ili Kusimamia Kanuni ni Kuvunja Kanuni!
   
 2. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Siita na Mwakyembe wamekikua taratibu sidhani kama ni kanuni.
  Kimsingi walitakiwa querries zao wazipeleke kwenye kikao cha baraza la mawaziri. Ila nionavyo mimi wao wamefanya vile deliberately sababu wanajua maana ya collective responsibility. Wao hawanyenyekei kuwa mawaziri.
   
 3. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  its some how complecated.
   
 4. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe Blue Balaa. Na kwa nini Chikawe anataka utaratibu ufuatwe? Je hakuona umuhimu wakumshauri Raisi mapema kwamba suala la Dowans ni sensitive aitishe kikao cha baraza la mawaziri ili kutoa msimamo wa pamoja au maelekezo kwa mawaziri? Hii tabia ya kutibu (cure) badala ya kuzuia (prevention) inatuumiza! Kuchelewa kwa viongozi kureact to issues ndio kunaendeleza malumbano. JK aidha halioni hilo au hajali. Hata kama ni kuwapa Mawaziri wako nafasi ya kufanya kazi kama Raisi lazima msimamo wake ueleweke. Ndio maana yeye ni Raisi. Ukiniuliza Raisi ana msimamo gani kuhusu Dowans siwezi kujibu. Baraza la mawaziri msimamo wake haujulikani pia. Katika mazingira hayo kila mtu ataibuka na msimamo wake!
   
 5. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mimi sioni cha kujadili hapa, sasa mbona yeye Chikawe hakuwasubili huko kwenye baraza la mawaziri ndio awaambie? kwa nini na yeye ameongea na media? mbwa kabisa hawa.
   
 7. A

  August JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
   
 8. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh! Matola huruhusiwi kuendesha gari wala pikipiki, huruhusiwi kuwa karibu na upinde, mkuki, kisu panga, bunduki wala jiwe! Huruhusiwi kupewa mkono na kiongozi yeyote wa serikali.....utaua! Naamini Chikawe akajipendekeza mbele yako lazima umpe za uso! Hasira yako iko wazi and it is justified! Hawa jamaa wanakera kupita kiasi! Kwani kulikuwa na haja gani ya kutoa maelekezo hayo kwa media? Badala ya kufanya kazi mawaziri wanakuwa na kazi ya kuongea na vyombo vya habari! Wao na media tu!! Inatia hasira sana na ni bahati yao hawajichanganyi na wananchi!!!
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
   
 10. mikonomiwili

  mikonomiwili JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 11. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Sitta keshasema - JK atashtuka na kufunga zizi wakati ng'ombe wote wameshatambaa. Sijui hata kama JK atakumbuka kufunga hilo zizi lenyewe
   
 12. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Kikao huwa kinafanyika kila baada ya muda gani au mpaka Mkwere apende?
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Ki ukweli Sitta na MWakyembe walifunja taratibu, lakini walifanya hivyo kimakusudi, Sitta na MWakyembe wanaujua mchezo mzima wa Dowans na uhusika wa JK, RA, EL, Visenti na wengineo. na wanajua (Sitta na Mwakyembe) kabisa kuwa hayo malipo ni lazima yangelipwa tu eidha kuwe na kikao cha mawaziri ama hakuna, kwani hiyo issue ilishashinikizwa kwa mwanasheria mkuu, waziri wa nishati na madini na wote walikaribu,

  Sitta na Mwakyembe walikuwa wanawafaamisha wananchi ni nini kinachoendelea na wala hawakuwa wakiisema serikali, kwani serikali imesharidhia kulipa hizo fedha
   
 14. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
   
 15. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapa kiukweli hamna serikali, maana Chikawe na yeye kavunja utaratibu kama wenzake. Ametoka nje akaanza kuropoka kama mwendawazimu hivyo ni yale yale. Angewasubiri kwenye baraza la mawaziri aseme nao na si kupwayuka. Sasa ujumbe ni wa sitta na mwakyembe na sisi anapotuambia anategemea nini zaidi ya kumuona alitaka kuficha mafisadi
   
 16. W

  We know next JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ni uwajibikaji wa pamoja, kwanini Ngeleja alianza kuliongelea kabla ya Baraza la Mawaziri? Sasa aliyefunja kanuni hapa ni nani? Na kama Ngeleja alitumiwa kwa maslahi ya mafisadi, sasa ndio waone nguvu ya Mungu inavyowaumbua. Na bado, hili swala la Dowans litaimaliza Serikali na CCM.
   
 17. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi nadhani kilichomfanya Sita,azungumze nje ya utaratibu(kama ni kweli lakin),ni ile kauli ya kwamba TUTAWALIPA HARAKA,.nadhan kauli yake n ya Mwakyembe imewafanya hao makuwadi waogope kidogo,.
   
 18. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi nadhani kilichomfanya Sita,azungumze nje ya utaratibu(kama ni kweli lakin),ni ile kauli ya kwamba TUTAWALIPA HARAKA,.nadhan kauli yake n ya Mwakyembe imewafanya hao makuwadi waogope kidogo,.so kwa kuwa alikuwa anajaribu kuliamsha taifa,hakuna kanuni wala utaratibu,aliyovunja,alikuwa anasimamia sheria mama,KATIBA!
   
 19. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sitta, Mwakyembe na Wana CDM wanamuelekeo mmoja ila wanapita njia tofauti. Stta na Mwakyembe walijua wakiongea kwenye kikao cha Mawaziri wangefikia kupiga kura ili kufanya maamuzi ya kulipa au kuto lipa, na ukiangalia balaza la mawaziri ambao sio mafisadi hawafiki watano kwa hiyo, njia yoyote ile uamuzi wa kulipa ungekubalika. ndio maana waliamua kutumia nguvu ya umma kama CHADEMA.
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kanuni ilianzwa kuvunjwa na Wille kwa kukataa Dowans ijadiliwe ktk Baraza la Mawaziri, isitoshe Uwaziri haukuzuii kuoa maoni yako kama mtanzania. Kwani hao Sitta na Mwakyembe walisema wanazungumza kwa niaba ya Wizara zao!?? Chikawe aache porojo
   
Loading...