Kuvunja Baraza la Mawaziri ni matokeo ya kuunda Baraza bovu la Mawaziri


T

Tselm

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2013
Messages
229
Likes
1
Points
0
Age
44
T

Tselm

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2013
229 1 0
Haohao walimpongeza kwa kuteua na kuunda baraza makini, leo haohao wanawapongeza mawaziri kwa kujiuzulu, haohao tena hapo hapo wanampongeza rais kwa kuridhia kuwaondoa mawaziri, haya ni matokeo ya unafiki wenye level ya chuo kikuu ambao hufifisha na kuondoa soni machoni. "Tunampongeza rais kwa kuridhia mawaziri kujiuzulu" unahitaji kuwa mnafiki ili uweze kutamka kauli kwani katika situation kama hii ingetarajiwa rais akatae kuridhia? Kwa lipi? Binafsi naona kupongezwa uvunjwa baraza ni kupongeza uteuzi na uundwaji wa baraza bovu kwani kuvunja baraza ni matokeo ya uundwaji mbovu wa baraza hilo.
 

Forum statistics

Threads 1,236,429
Members 475,125
Posts 29,257,504