Mambo yote yanaweza semwa na kuweka mipango mingi ya viongozi kutoa kauli mbalimbali za ajabu.
Kubwa ni kuwa suala la kufungia chama hawaliwezi, tena kamwe hawataweza simamisha uelekeo na haja ya kweli ya wananchi ya kuona mabadiliko. Wakifuta chama, watakuwa wanatia mafuta kwenye moto, wakifuta chama- hawatakuwa wamefuta dhamiri ya kweli ya mabadiliko. Hebu wajaribu ili waone ukweli wa haja ya mabadiliko.