Kuvuja kwa siri za kuwalinda mafisadi wakubwa katika rushwa nani mwenye makosa??

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Dr hossea alisema kweli kwamba kikwete hataki kuwapeleka mafisadi wakubwa mahakamani !! Na ndio maana hata wakati wa uchaguzi mwaka huu aliwanadi watuhumiwa wote na kuwapongeza kuwa ni wachapakazi.

Dr hossea asingeweza kutoa malalamiko hayo kwa mtu yoyote hapa nchini kwasababu serikali yote iliyo madarakani ni ya wizi!!!!
Watuhumiwa hao walichota fedha na kuzitumia kumuweka kikwete madarakani .
Sasa ndio maana wana nguvu na wanaweza kumuua hosea!!!
Wanaotajwa kuruhusu wizi wa epa , kagoda ni rostam, lowassa, mkapa na kikwete , sasa hosea anaweza kufanya nini na hawa???

Mimi nampongeza hosea ila amutafute mungu !!!
 
Hosea hana kosa mtu wa kulaumiwa ni kikwete.
Kikwete ndiye aliye mwaajiri hosea
 
Hosea hana kosa mtu wa kulaumiwa ni kikwete.
Kikwete ndiye aliye mwaajiri hosea

Hosea naye ana ufisadi wake,kwa hiyo hawezi kupeleka mafisadi wenzie mahakamani.Aliyozungumza WikiLeaks ni kujaribu kuhamisha lawama,he is equally guilty.
 
Nguvu ya Mungu haina siri na waswahili walisema wakati ni ukuta yote yataibuka.

Dr hossea alisema kweli kwamba kikwete hataki kuwapeleka mafisadi wakubwa mahakamani !! Na ndio maana hata wakati wa uchaguzi mwaka huu aliwanadi watuhumiwa wote na kuwapongeza kuwa ni wachapakazi.

Dr hossea asingeweza kutoa malalamiko hayo kwa mtu yoyote hapa nchini kwasababu serikali yote iliyo madarakani ni ya wizi!!!!
Watuhumiwa hao walichota fedha na kuzitumia kumuweka kikwete madarakani .
Sasa ndio maana wana nguvu na wanaweza kumuua hosea!!!
Wanaotajwa kuruhusu wizi wa epa , kagoda ni rostam, lowassa, mkapa na kikwete , sasa hosea anaweza kufanya nini na hawa???

Mimi nampongeza hosea ila amutafute mungu !!!
 
Hili jambo siyo la kuzungumza juu juu; ieleweke rais amehapa kuendesha mambo yake chini ya sheria. Na kwa mujibu wa katiba yetu watu wote ni sawa mbele ya sheria. Hivyo siamini rais wetu anaweza kuendekeza matabaka katika utekekelezaji wa sheria. Tatizo ninaloliona ni kwamba utendaji kazi katika TAKUKURU umewekewa urasimu mwingi unaosababisha hata Mkugenzi mkuu wa taasisi hiyo ashindwe kufanya kazi yake kwa uhuru. Kwa mfano, ingawaje taasisi hiyo kinadharia inasemekana kuwa huru lakini ipo kamati chini ya Katibu Mkuu Kiongozi inayodhibiti shughuli za taasisi hiyo. Aidha kesi kubwa kubwa haziwezi kupelekwa mahakamani bila ya muhafaka wa DPP.
 
naona ni marudio ambayo watu walishasema JK aliingia kwa ufisadi hawezi kugombana mafisadi wenzake, kilio ni kwa wananchi maskini wanaodhani wanalindwa kumbe wametelekezwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom