Kuvimba papuchi kwa mama mjamzito

Muce

Senior Member
Dec 19, 2011
116
14
Habari wana Jf, mke wangu anatatizo la kuvimba papuchi mara tu baada ya kugegedana, tatizo hli limemuanza hvi karibuni baada ya kupata mimba, hii ni mimba yake ya kwanza hvyo hatuna uzoefu wowote, tunaomba ushauri wenu wataalamu na wazoefu.
 
Hapana haimuwashi, anaujauzito wa miezi kama 3 hv.

Okay...kama hakuna muwasho wowote basi usitie shaka yoyote, maana hapo tunge suspect labda kuna infections.

Kuna wanawake wengi hukutwa na hali hiyo na baadaye hupotea, sababu kubwa huwa ni ongezeko la mzunguko wa damu na wakati mwingine msukumo au mgandamizo wa mtoto tokea ndani.
 
Mi mwenyewe natatizo hilo.naujauzito wa miez 5 na vipimo vimeonyesha na twins.papuch imejaa hadi inauma.cna mwili mkubwa
 
Habari wana Jf, mke wangu anatatizo la kuvimba papuchi mara tu baada ya kugegedana, tatizo hli limemuanza hvi karibuni baada ya kupata mimba, hii ni mimba yake ya kwanza hvyo hatuna uzoefu wowote, tunaomba ushauri wenu wataalamu na wazoefu.

Upesi Sana Tafuta PILIPILI Mbichi kisha Zisage Sana Halafu Tafuta ----- uliokomaa Changanya Huo MSETO Kisha Mpakae Mama Watoto ktk LIPAPUCHA LAKE na UTANIPA MAJIBU baada tu Ya Dakika Chache. MAUMIVU YAKIZIDI MUONE DAKTARI:smile-big:
 
Hii ni zaidi ya bangi....
Hii ni zaid ya division 5 ya Mulugo...
Sijui ubongo wako umemwazima nani....
Majanga.
 
Commets za namna hii zinaishushia Jf hadhi sana.Style up folk.

Umeona Comments Zangu tu ila Zingine Hujaziona? Na Isitoshe Nimeiandika Kama Masihara tu kwani Napenda Mno Jokes Niongeze Siku Za Kuishi Duniani. Acha Kimbelembele ----- Nazi Wewe.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom