Kuvamiwa tena kwa kanisa la Anglican Zanzibar... Tusishangae meli nyingine ikizama

Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...

Na MV Bukoba aliadhibiwa wa dini gani? Na hizo ajali za kila siku barabarani wanaadhibiwa waliochoma makanisa gani?

Wacha ujinga wewe.
 
Ref: Kuvamiwa kwa kanisa la Anglikana Z'bar Meli nyingine itazama
Hilo siyo kusudio la Mungu bali tuna angamia sisi wenyewe kwa kukosa maarifa
 
kwani kwenye hio melei hakuna wagalatia wa tanganyika walokufa?
Mbona walikua wengi na hakuna aliepona?
Haya ni matunda ya dhulma...
Unapokuwa na kundi moja halina kitu.tunawaita machinga...hawapewi eleimu makusudi
na watu wanafurahia kuona watoto hawa wa kimachinga wakikosa elemu
sasa matunda yake ndio ya mbagala...
Hili lilikua kosa kubwa la nyerere kuwabagua watu kwa msingi wa dini katika kuwapa raia zake eleimu
sasa wale wasio kuwa nayo na hawana kazi na ambao wanadharauliwa basi ndio hao wanaofanya fujo ...

macos usiwadanganye watu, Nyerere alitoa imu sawa kwa wote. Ndio maana alitaifisha mashule ya makanisa na yawatu binafsi ili kuwapati watanzania wote elimu. tatizo lenu mlipenda sana elimu ahera (madrasa) badala ya elimu ya dunia.
 
naona dawa yao ni kuwatandika na mabomu na kupewa adhabu kali, km alivyofanya Mh Mkapa kipindi kile zanzibari
 
Kukosa shughuli za kufanya. Hii nguvu kazi wanayoipoteza kufanya shughuli zisizo maeneleo za kuandamana maandamano yasiyo faida na kuharibu mali, wangezitumia ktka shughili za uzalishaji mali na kingiza pato lao binafsi na pato la taifa tungekuwa mbali sana.

Large useless population.
 
kwani kwenye hio melei hakuna wagalatia wa tanganyika walokufa?
Mbona walikua wengi na hakuna aliepona?
Haya ni matunda ya dhulma...
Unapokuwa na kundi moja halina kitu.tunawaita machinga...hawapewi eleimu makusudi
na watu wanafurahia kuona watoto hawa wa kimachinga wakikosa elemu
sasa matunda yake ndio ya mbagala...
Hili lilikua kosa kubwa la nyerere kuwabagua watu kwa msingi wa dini katika kuwapa raia zake eleimu
sasa wale wasio kuwa nayo na hawana kazi na ambao wanadharauliwa basi ndio hao wanaofanya fujo ...

Umezaliwa mwaka gani Mkuu, yawezekana kukimbia kwako umande kumekufanya usielewe hata historia ya nchi hii. Hapo penye red unamaanisha elimu ipi? Madrassa au?
 
Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...
naona jama yangu huna la kusema ayo magari yanayogongana kila kukicha huko tanganyika kuuwana kusiko kwisha yote nadhani kwa kuchomwa makanisa umedanganywa ukadanganyikwa na kina kakobe wanaume waliokuwa hawajaonja tendo la ndoa,eti padri haoi!! wazinifu tu haoo!!
 
Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...

inawezekana uliugua akili na pia una chuki binafc na wazanzibar vipi mbagala makanisa mangapi yalichomwa kama kuzama si zingeanza huko tanganyika au makanisa ya z'bar ndio yanayokuuma
 
Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...
mungu gani atakaeangamiza bwana mwana au roho hivi sielewi muna waungu wangapi? nakushauri utafute ukweli ulipo mdogo wangu
 
Nipo bana nivea.... majukumu yamenikaba koo siku mbil tatu hizi... eti we unaamini meli ilizama sababu ya laana?

securedownload (4).jpg haya mimi namshukuru mungu kwa hili ,ila naamini hivi MUNGU HUWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO HATA KIZAZI CHA NNE CHA WAMCHAO NAYE ANAWAREHEMU MAELFU ELFU WAMPENDAO NAKUZISHIKA AMRI ZAKE Tuko hata kama haitalipizwa leo am sure inaandamana na kizazi cha tatu na cha nne .......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom