Kuvamiwa tena kwa kanisa la Anglican Zanzibar... Tusishangae meli nyingine ikizama

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...
 
Mh... Haya mambo ya waisraeli vs wamisri au waisraeli vs wapalestina yaliisha tangu agano la kale. Cant happen now...
 
usiwaombee dua mbaya, yatupasa kusamehe na kuwaombea.
 
Christians hapo ndipo mnapoharibu, nani kakwambia msamehe kihivyo jibuni mashambulizi tu tujue moja. Maana hili ni genge la wahuni wa mjini kina Ponda na faridi. Mimi nafanya kazi na waislamu na wengi sana ni jirani zangu wanawashangaa kupe hawa. sijui wametoka wapi na kwa sababu tuna serikali dhaifu basi wanajifanyia wanalotaka tu.
 
Waislam wamekusanyika uwanja wa Masjid Quba Kijitonyama, wanajiandaa kupanda magari (mabasi ya kukodi) sijui ndo wanaenda kumtoa Ponda jela?
 
Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...

Kisiwa kitazama??
 
securedownload (6).jpg
namshukuru sana mungu kwa hili
 
Waislam wamekusanyika uwanja wa Masjid Quba Kijitonyama, wanajiandaa kupanda magari (mabasi ya kukodi) sijui ndo wanaenda kumtoa Ponda jela?

wana majambia? kwiwkwiwkiwwkwiwkwiwkiwkwwi
 
mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za mv skirgit ilikuwa adhabu ya mungu kwa wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...

kwani kwenye hio melei hakuna wagalatia wa tanganyika walokufa?
Mbona walikua wengi na hakuna aliepona?
Haya ni matunda ya dhulma...
Unapokuwa na kundi moja halina kitu.tunawaita machinga...hawapewi eleimu makusudi
na watu wanafurahia kuona watoto hawa wa kimachinga wakikosa elemu
sasa matunda yake ndio ya mbagala...
Hili lilikua kosa kubwa la nyerere kuwabagua watu kwa msingi wa dini katika kuwapa raia zake eleimu
sasa wale wasio kuwa nayo na hawana kazi na ambao wanadharauliwa basi ndio hao wanaofanya fujo ...
 
Mh... Haya mambo ya waisraeli vs wamisri au waisraeli vs wapalestina yaliisha tangu agano la kale. Cant happen now...
Tuko mambo!!!!!!!! wewe mbona umepotea kama mimi ?
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...

We mtoto ni mnafiki sana, nani aliyekwambia kuzama kwa kanisa ni matunda ya kuchoma kanisa la Anglican!!!!! Mbona kanisa lenyewe lina support usodoma na ugomora hausemi?????

Tumia akili katika tupost hapa jukwaani.
 
wakimaliza kuchoma makanisa,dhambi ya ubaguzi itazidi watafuna,wapemba na waunguja wataanza kupigana,wakishauana,wataanza kubaguana washia,mujaidina na sunni,wakimalizana,wataanza kuuana wao kwa wao,aponi mtu kule,historia itajieleza ata kama itakuwa baada ya miaka 100
 
Mimi naamini kuwa kuzama kwa meli za MV Skirgit ilikuwa adhabu ya Mungu kwa Wazanzibar walioshiriki au kushabikia kuchomwa kwa makanisa mwanzoni mwa mwaka huu...
Naona hawakushika adabu, wameshambulia tena kanisa jingine... Sasa wategemee adhabu kubwa zaidi...
Mungu angekuwa na akili mbovu na za kihayawani kama zako dunia hii ingeangamia kwa siku moja
 
Back
Top Bottom