Kuvamiwa kwa Ofisi za Mwanahalisi na Polisi

Pamoja na yote haya bado kuna watu humu JF bila hata chembe ya aibu wanathubutu kuitetea hii serikali ya VD (Vasco Da gama). Watu wengine bwana, sijui wanaendelea kuota ndoto hata baada ya kutoka usingizini.

Kubenea - Fear is never a reason for quitting; it is only an excuse. No one can defeat us unless we first defeat ourselves. Most of us in JF are with you and together our perseverance will lead us to victory. A luta continua.....
 
Tatizo ni kwamba wameibadilisha polisi kuwa kama Militia za mafisadi.
Hao polisi unaweza kuta nao wamepewa share kwenye ufisadi ili wafanye hayo mambo.
Polisi ndio wezi na kwahiyo watu muelewe kuwa hata Kombe aliyekuwa mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mwenyewe aliuwawa na polisi.
 
Kikwete huwa anatoa matamko yanayoonyesha kama ana tolerate tolerate vyombo vya habari. Mpaka akatoa executive order kwa vyombo vyake vifuatilie ishu ya mwandishi kumwagiwa tindikali. Na ni yeye ndie aliamuru vijana wa Jamboforums waachiwe, inasemekena.

Sasa inakuwaje hapa henchmen wake wanafanya vingine?

Nini kinaendelea hapa, huwa ni mnafiki au mapolisi wake hawapati directives za Raisi?

Kwenye hili la ku tolerate vyombo vya habari kuandika watakavyo, Kikwete ana sound kama yuko honest. Sasa nini kinaendelea hapa?
 
Kuhani..Ndio maana ya kusema kuwa wamegeuka kuwa Militia.
Kwasababu ninaamini kuwa hao wametumwa na RA.
Kwasababu Chenge ana grupu lake la Militia so as Mkapa,JK na wengineo.
Kila mtu ana polisi wake wa kuwapa oreder provided ndiyo wenye pesa.
Ni mikakati ya mwisho mwisho ya mafisadi kwani miti inaelekea kuteleza.
Kinachotakiwa ni kama ni kweli JK ana nia nzuri..Basi ampe MWEMA AMRI ya kufanya kazi yake base on the findings za uchunguzi wa EPA.
Kuendelea kuwapa free ride ni kupelekea machafuko.
 
Zipo taarifa za ukweli kuhusu sababu kubwa iliyomfanya RA amvae Mtikila. Katika sababu hizo zilizotolewa na msemaji mmoja ambaye labda angenukuliwa na Mwanahalisi ni kuwa Mch. mtikila ameanzisha mchakato wa kuwabana altimately mafisadi. Zimeorodheshwa kashfa zote kuanzia za IPTL hadi Richmond. Kwa kifupi hakuna atakayenusurika kutajwa. Ni moto mkubwa ambao labda unaelekea sasa kutoa dalili za kuchoma na kuteketeza kabisa kichaka cha mafisadi.
 
Huo ndio moto tunaotaka UWAKE!
Hopefully..Lakini maneno yako hayo yana encourage.
Dawa ni wajipange vizuri na JK sasa hana tena muda ni lazima atowe uamuzi kuhusu EPA la sivyo Taifa litaangamia.
 
Kikwete huwa anatoa matamko yanayoonyesha kama ana tolerate tolerate vyombo vya habari. Mpaka akatoa executive order kwa vyombo vyake vifuatilie ishu ya mwandishi kumwagiwa tindikali. Na ni yeye ndie aliamuru vijana wa Jamboforums waachiwe, inasemekena.

Sasa inakuwaje hapa henchmen wake wanafanya vingine?

Nini kinaendelea hapa, huwa ni mnafiki au mapolisi wake hawapati directives za Raisi?

Kwenye hili la ku tolerate vyombo vya habari kuandika watakavyo, Kikwete ana sound kama yuko honest. Sasa nini kinaendelea hapa?

Kikwete msanii, anachojali ni image yake.Kwa hiyo akiona anaweza ku gain vi "brownie point" kuwa yeye ana tolerate waandishi hachelewi kuvichukua, lakini kama kweli angekuwa na nia tungemjua tu.Inaonekana na polisi wake wanaelewa kuwa rais wao anatoa kauli za kisiasa tu, vinginevyo wasingethubutu kufanya hizi abuses.
 
Kube.JPG
 
Polisi na SISIEMU yao ndo wanazidi kujidhalilisha. Halafu watoke hapo waseme Mugabe si Rais halali wa Zimbabwe?? Sasa kuna tofauti gani kati yao na Mugabe? Hawa ni MANYANG'AU tu, vita ndo inaanza hata haijafika 1/8. FISADIZ wanadunda tu lakini wanaoibua uchafu ndo wanakuwa targeted.
 
Mambo ya Mugabe ni ya kuachana nayo sasa.
Kwanza hujasikia serikali inasema inataka izitumie sera zake za madini?
Ni afadhali sasa umeondowa ile avatar yako iliyokuwa ya kidhalilishaji.
Sasa Nakubaliana na upande mwingine wa posting yako hapo juu kuwa FISADAZ wanadunda tu lakini si tu wanaoibuwa uchafu ndo wanakuwa targeted...Bali wao ni wapambanaji wa uhuru.
Kumwagiwa tindikali na mashambulizi ya kinyama we hujuwi kuwa ni ukiukaji wa haki za binadamu pamoja na uhuru wa habari?
Hivyo basi si tu waibuaji...Bali wazalendo na FREEDOM FIGHTERS.

source:
http://www.bw.co.zw/index.php?option...039&Itemid=149

Tanzania eager to adopt Zim's mining laws

An industry body in Tanzania says it wishes to take a leaf from Zimbabwe's mining laws as concern deepens about retaining the benefits of mining ventures.

An official at the Confederation of Tanzanian Industries (CTI) says a quota system in the extraction industry akin to one proposed by Zimbabwe would be ideal for the mineral-rich country.

Zimbabwe is in the process of amending the Mines and Mineral Act to warehouse 51 percent shareholding for indigenous black extractors as part of its black economic empowerment strategy.

Tanzania, with rich diamond, gold and gemstone endowments, has rapidly grown to become the country's leading growth sector in the past five years.

However, CTI claims that growth has not led to the development of the country as the government only retains 2 % of export earnings in royalty with 98 % being repatriated by foreign-owned mining conglomerates.

Tanzania has recently introduced a free and 100 percent profit repatriation by foreign corporations to pull investors to the country.

Mining in the country is dominated by South African and British mining companies.

Although President Jakaya Kikwete's government promised to review mining contracts in 2005 following pressure from CTI, the Tanzania Chamber of Commerce and other industry bodies, no concrete action has so far taken place.

BO
 
Kikwete huwa anatoa matamko yanayoonyesha kama ana tolerate tolerate vyombo vya habari. Mpaka akatoa executive order kwa vyombo vyake vifuatilie ishu ya mwandishi kumwagiwa tindikali. Na ni yeye ndie aliamuru vijana wa Jamboforums waachiwe, inasemekena.

Sasa inakuwaje hapa henchmen wake wanafanya vingine?

Nini kinaendelea hapa, huwa ni mnafiki au mapolisi wake hawapati directives za Raisi?

Kwenye hili la ku tolerate vyombo vya habari kuandika watakavyo, Kikwete ana sound kama yuko honest. Sasa nini kinaendelea hapa?

Mambo sasa hivi yamewafika shingoni, hawana ujanja tena! Hawa waandishi ndio waliomlazimisha Kikwete kuwa Rais kwa kumpa sifa ambazo hakuwa nazo na ni hawahawa watakaomwangusha. Lakini kabla hawajamwangusha atajitahidi kuwaangusha ikiwemo hii tunayoiona, lakini siku ya siku haki na ukweli utasimama!
 
Suspects held in Tanzanian newsroom attack New York, January 8, 2008-Police in Dar-es-Salaam said Monday that they had two suspects in custody after armed men stormed the newsroom of a popular vernacular newspaper and seriously injured two top journalists, according to local reporters and news accounts.
Managing Editor Saed Kubenea of the Kiswahili-language Mwana Halisi and veteran journalist Ndimara Tegambwage, a consultant with the weekly, were preparing this week's edition when three men armed with a machete and an unidentified chemical broke down the newsroom door and assaulted them at 9 p.m. local time Saturday, according to the same sources. The assailants splashed a chemical in Kubenea's eyes and struck him in the face with a stone, Tegambwage told CPJ. Persistent eye pain forced doctors at Dar-es-Salaam's main Muhimbili Hospital to transfer Kubenea to India for further treatment, according to local journalists. Tegambwage was hit on the side of the head with a machete, causing a wound requiring 15 stitches.
Tegambwage, who was discharged from the hospital on Sunday, told CPJ that he was still suffering from headaches and pain but was recovering at home. He said the attackers made no demands but appeared intent on harming Kubenea. Tegambwage said the assailants escaped with his mobile phone.
In a press conference today, Dar-es-Salaam Police Commander Alfred Tibaigana said police had recovered the mobile phone and a bloodstained hat belonging to one of the journalists, according to the English-language daily Guardian. Kubenea had received several anonymous threatening text messages since June 2007, he added. The two suspects had not been formally charged as of today.

Local journalists said they believed the attack was linked to the paper's exclusive investigative stories on public corruption and government mismanagement, according to local journalists. A story in this week's edition featured a purported official document implicating top government officials in alleged financial irregularities involving the embattled state-owned Bank of Tanzania, they said.

"We condemn in the strongest terms this brutal attack on our colleagues," CPJ Executive Director Joel Simon said. "Anything short of a thorough and transparent investigation, including a probe into possible masterminds, would send the wrong signal about Tanzania's democratic credentials and law."

Tanzanian President Jakaya Kikwete condemned the attack on Monday shortly after visiting Kubenea at the hospital, according to news reports. The Guardian reported the president as saying that the attack "undermined government's efforts to have a free and vibrant media."

Distinguished for the boldness of its stories, Mwana Halisi derives a greater proportion of its revenue from circulation than do most Tanzanian papers. Thus, CPJ research shows, it is less prone to self-censorship driven by private and government advertising considerations.

NB:Kweye highlight..Kumbe hata suspects wako lakini bado wao tu ndio wananyanyaswa?
Hapa mimi naona mashitaka wafunguliwe polisi.
Tena kwanza maandamano ya kuwashinikiza wajiuzulu pamoja na hao waliotowa hiyo warrant.
 
mpaka kieleweke hawa mafisadi mwaka huu wataipata freshi........sasa tunataka akina Mwanahalisi kama 10 hivi.....WAke up!
Bob anatuambia....
You can fool some people sometimes,
But you cant fool all the people all the time
So now we see the light
We gonna stand up for our rights

Zife fikra za mafisadi
 
Hata hivyo nakubaliana baadhi ya wana jf kuwa hata JK mwenyewe hajachukuwa hatua yoyote na hili linatisha.
Kwani hapo chini ni kauli mbali mbali zilizotolewa kuhusiana na tukio hilo lakini kauli la Alhaji ilikuwa kali zaidi ya JK.
JK hakuonyesha na bado hajaonyesha kuwa wanaomyanyasa Kubenea na wenzake ni mafisadi.
Wao wanadai ni maharamia na kusema eti wapewe pole!
Vipi kuhusu ulinzi?
Huyu JK HUYU...Sijuwi.

Kama alivyokuwa ameeleza katika taarifa yake rasmi kwa vyombo vya habari juzi, Rais Kikwete alimweleza Bw. Kubenea jinsi alivyosikitishwa na kuhuzunishwa na shambulio dhidi yake na dhidi ya Bw. Tegambwage.
Rais alisema kama wahariri hao walishambuliwa katika hali ya kawaida basi ni jambo baya.
Hata hivyo, alisema ni jambo baya zaidi kama wahariri hao watakuwa wameshambuliwa kwa sababu ya kazi yao ya uandishi wa habari, kwa sababu hilo ni pigo kwa juhudi za Serikali katika kulea na kuunga mkono vyombo vya habari huru na vinavyojitegemea nchini.

Alhaji Mwinyi.....

Naye Zahoro Mlanzi anaripoti kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, amewataka waandishi wa habari kutotishika na uharamia uliotokea hivi karibuni na waendelee kuitumikia jamii kama kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Dar es Salaam jana, Alhaji Mwinyi alisema uharamia huo ni mpya kutokea nchini kwani kuna watu wanataka kuwatisha waandishi wasiandike maovu yao.
"Nashangaa kuona uharamia kama huu unatokea, inasikitisha sana, lakini nawasihi endeleeni kufanya kazi kama kawaida wala msitishike na yaliyotokea," alisema.

Alisema ni lazima waandishi wa habari washirikiane na Serikali kwa namna moja au nyingine ili kuhakikisha jambo kama hilo la kusikitisha halitokei tena.
Alisema ndiyo maana Serikali ikaamua kuwapo na uhuru wa vyombo vya habari, kwani zamani kulikuwa na vyombo vichache vya habari.
Alhaji Mwinyi aliyazungumza hayo baada ya kuona waandishi wengi wa habari kufikia nyumbani kwake baada ya kuwaalika katika mkutano na waandishi ulioandaliwa na Benki M kwa ajili ya kukabidhi msaada kwa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT).

Mwanasheria
Naye Hemed Kivuyo, anaripoti kutoka Arusha kwamba mwanasheria wa kujitegemea, Bw. Amani Mustafa, amewataka waandishi wa habari kutokata tamaa na kazi zao hasa baada ya wahariri wa Mwana Halisi kuvamiwa wakiwa kazini na kujeruhiwa.
Akizungumza na Majira jana, Bw. Mustafa alisema pamoja na wanasheria kulaani kitendo hicho, pia aliwataka wanahabari kutokata tamaa na badala yake waongeze bidii katika kazi zao za kufichua maovu na kuisaidia jamii na Serikali iliyopo madarakani katika viunga mbalimbali.
Alisema dawa pekee ya vitendo kama hivyo ambavyo vimekuwa vikitokea mara kwa mara, ni waandishi kuwa na umoja na wamiliki wa vyombo hivyo ambao wanapaswa kukemea vitendo hivyo vinavyojaribu kufunga au kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini.
Aliongeza kuwa wamiliki wa vyombo vya habari wanapaswa kuhakikisha kuwa wanahabari wao wanakuwa salama zaidi hasa pale wanapotafuta habari za uchunguzi na zenye kuisaidia jamii na wao wajitoe kwa hali na mali katika kuhakikisha wahariri wa vyombo vyao hawafikiwi kirahisi na jamii ya watu wabaya.

IJMC
Nayo Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma(IJMC) imesema ilipokea kwa mshituko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Bw. Kubenea na Bw. Tegambwage.
Taarifa ya IJMC ilioyosainiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Wanafunzi, Bw. Paul Dotto, ilisema tukio la kushambuliwa kwa waandishi hao kwa kupigwa mapanga, sime, rungu na kumwagia kemikali, limeshtua jamii ya kitanzania yenye nia ya dhati ya maendeleo katika nyanja zote kwa kutumia mhimili wa nne wa utawala, yaani Vyombo vya Habari katika kufahamisha, kuelimisha na kukosoa.
"Tukio hili tunalihusisha na nia mbaya ya baadhi ya watu au kikundi cha watu waovu, kupinga kwa makusudi juhudi za wanahabari katika kufichua maovu ndani ya Serikali na jamii kwa ujumla.
"Tunalaani tukio hili ambalo linapingana dhahiri na juhudi za kufikia ufanisi na maendeleo katika uhuru wa maoni, utawala bora na dhana ya uwajibikaji kwa wananchi wa Tanzania," ilisema taarifa.
Ilisema tukio hili na mengine mengi dhidi ya waandishi wa habari nchini, kama vile kunyang'anywa vitendea kazi, kutishwa, kupigwa ni dhamira ya watu waovu wenye lengo la kuwaogofya waandishi wa habari ili wasitekeleze majukumu yao kwa uhuru na uwajibikaji unaopaswa kwa manufaa ya jamii.
Iliwataka waandishi wa habari wasikubali kukatishwa tamaa na tukio hilo bali waendelee kuandika habari ambazo zina manufaa kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.
"Tunatoa mwito kwa vyombo vya usalama nchini kuwatafuta na kuwachukulia hatua zinazostahili waliohusika katika tukio hili ili iwe fundisho kwa watu wenye nia mbaya dhidi ya wanahabari nchini," ilisema taarifa.
TAJA
Nacho Chama cha Uandishi wa Habari Tanzania (TAJA) kimepokea kwa masikitiko makubwa kitendo cha kinyama walichotendewa Bw. Kubenea na Bw. Tegambwage.
"Uongozi wa TAJA pamoja na wanachama wake wote 275 walioenea Tanzania Bara, Unguja na Pemba, kwa hali na mali wanalaani walioshiriki kwa njia moja au nyingine kufanikisha kummwagiwa kemikali Mhariri wa Mwana Halisi na kupigwa mapanga Bw. Tegambwage, kuwa ni mafisadi," ilisema taarifa ya TAJA.
TAJA iliwapa pole na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu wapone haraka ili warudi katika hali yao ya kawaida ya kuhudumia umma bila woga au kujikomba kwa wafanyabaiashara au watawala.

VoT

Naye Mwenyekiti Mtendaji wa kituo cha redio cha Voice of Tabora (VoT), Bw. Ismail Rage, aliungana na wanahabari wengine nchini kulaani kitendo hicho dhidi ya wahariri hao.
Aliwahakikishia wahariri hao kuwa kituo chake kitakuwa mstari wa mbele kupambana na wahalifu wanaorudisha nyuma maendeleo ya tasnia ya habari nchini.
"Kwa kuwa Rais Kikwete ameshatutaka tusirudi nyuma, basi tutaendelea na dhima yetu ya kupambana na maovu nchini kwa ushirikiano na Serikali," alisema Bw. Rage.
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia Bw. Hamis Ramadhani (25) mkazi wa Mwananyamala B ambaye ni mchomelea vyuma na Bw. Alfred Mushi 'Chambia' (64) mkazi wa mtaa Luhambo nyumba namba 15.
 
mpaka kieleweke hawa mafisadi mwaka huu wataipata freshi........sasa tunataka akina Mwanahalisi kama 10 hivi.....WAke up!
Bob anatuambia....
You can fool some people sometimes,
But you cant fool all the people all the time
So now we see the light
We gonna stand up for our rights

Zife fikra za mafisadi

Hii ndio changamoto ya mafisadi, za arobaini ziko mlangoni kwao!
 
Kikwete huwa anatoa matamko yanayoonyesha kama ana tolerate tolerate vyombo vya habari. Mpaka akatoa executive order kwa vyombo vyake vifuatilie ishu ya mwandishi kumwagiwa tindikali. Na ni yeye ndie aliamuru vijana wa Jamboforums waachiwe, inasemekena.

Sasa inakuwaje hapa henchmen wake wanafanya vingine?

Nini kinaendelea hapa, huwa ni mnafiki au mapolisi wake hawapati directives za Raisi?

Kwenye hili la ku tolerate vyombo vya habari kuandika watakavyo, Kikwete ana sound kama yuko honest. Sasa nini kinaendelea hapa?

Kuna serikali mbili; inayoongozwa na JK na ile inayoongozwa na mafisadi, chini ya EL na RA .... hao askari wametumwa na serikali ya EL na RA
 
Wakuu Heshima mbele, hapa naomba kuuliza kwanza kuna sababu zozote ambazo zimethibitishwa na reliable source as of why polisi wamewavamia hawa Mwanahalisi?

Kwa sababu kama ni Rais ndiye aliyeamuru kama inavyodaiwa na wajumbe wengi hapa, basi wangekuwa ni watu wa usalama, sio polisi kama kuna mwenye facts zaidi ya hizi ziwekwe hapa tuchambue ukweli ulipo, polisi huhusika na ishus za jinai kwa hiyo kama ni wao basi kuna jinai hapo, lakini kama ni nyraka za serikali, hiyo ni ishu ya usalama wa taifa, au?

Otherwise, Mkulu wangu Ndimara pole sana unakumbuka tulipokutana mara ya mwisho kule DC nilikuambia kuwa inabidi uwe macho sana mkuu, na pia Mzee wa dataz Kubenea, pole sana ndugu yangu naona sasa hivi ni pilika nyingi sana, nitakutwangia tena badaye Mkulu, lakini pole sana!

Ndio maana huwa tunawaambia kina Mama Kilango wawe waangalifu! Ngoja niingie post kutafuta dataz za hii ishu!
 
Mkuu ni mahakama ndio uliyotoa search warant, na hao waliofanya hiyo kazi wamesema wanarudisha mahakamani... huko ndiko... Kubenea and Team, wataambiwa kwa nini wamesearchiwa...

Achana na propaganda za watu kwamba ni GoT
 
Wakuu Heshima mbele, hapa naomba kuuliza kwanza kuna sababu zozote ambazo zimethibitishwa na reliable source as of why polisi wamewavamia hawa Mwanahalisi?

Kwa sababu kama ni Rais ndiye aliyeamuru kama inavyodaiwa na wajumbe wengi hapa, basi wangekuwa ni watu wa usalama, sio polisi kama kuna mwenye facts zaidi ya hizi ziwekwe hapa tuchambue ukweli ulipo, polisi huhusika na ishus za jinai kwa hiyo kama ni wao basi kuna jinai hapo, lakini kama ni nyraka za serikali, hiyo ni ishu ya usalama wa taifa, au?

Otherwise, Mkulu wangu Ndimara pole sana unakumbuka tulipokutana mara ya mwisho kule DC nilikuambia kuwa inabidi uwe macho sana mkuu, na pia Mzee wa dataz Kubenea, pole sana ndugu yangu naona sasa hivi ni pilika nyingi sana, nitakutwangia tena badaye Mkulu, lakini pole sana!

Ndio maana huwa tunawaambia kina Mama Kilango wawe waangalifu! Ngoja niingie post kutafuta dataz za hii ishu!

Poor us Paparazi...inaelekea ni kutokana na bank statement za Kikwete na Ridhwan ambazo zimechomolewa toka NBC. Ilikuwa iwaanike mwana na mtoto. Anyway, tutaona mwisho wake

PM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom