LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Wanabodi,
Nimesikitishwa sana ni kuvamia na kuuwa kwa Mhadhiri wa Chuo kiku cha Dar as Salaamu akiwa anatoka Benki ya NBC Ubungo kuchukua pesa.
MHADHIRI WA CHUO KIKUU DSM ALIYEUAWA KUZIKWA TABORA - Global Publishers
Swali la kujiuliza walijuaje kwamba ametoka benki kuchukua pesa na siyo kuweka?
Na kama alienda kuchukua inakuwaje wanajua kiasi mpaka wanavutiwa kufanya ujambazi na ukatilii huu.
Mimi binafsi ilinitokea juzi mkoani Dodoma, NBC Mazengo. Nilienda kuchukua Milioni tatu na nusu hivi, cha ajabu nilipotoka nje wale vibaka waliaanza kunifuata. Mwingine alinifuata kabisa na kuanza kunionyesha vitu vya thamaini eti ninuue. Niliona wakifanya mbinu nyingi zikiwa zimelenga kuchukua hela nilizokuwa nazo. Cha ajabu zaidi, hayo yote yalifanyika ndani ya mita 50 kutoka NBC Mazengo.
Nilishituika sana na kuamua kuchukua taxi mara moja na kutokomea.
Kwa kweli nina wasiwasi na
-wahudumu wa benki hasa wanaomonitor camera za benki kwani huenda wanaona wateja wote na kutoa taarifa nje.
-ndani ya benki yawezekana kuna magents wa majambazi ambao hujifanya wateja kwa kuangalia wateja wanafanya nini.
Hii issue ni serious kwa kweli hasa kwa NBC Bank kwani itafikia tutawakimbia sisi wateja wenu.