badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,757
hv ndugu zanguni kuvaa suruali tumboni ni heshima kweli? hawa jamaa wanaofahamika kama ma papaa huku mjini wanashangaza sana. unakuta mtu kavaa suruali kuubwaa lakini ipo tumboni cz kiuno kidogo, ss ww uliendaje kushona suruali badala ya kupima kiuno una pima tumbo ss ndo nni. naomba kuwaksilisha tafadhali