Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,340
- 1,399
Mtoa mada unaonekana kuwa mshamba to the maximum possible level!!
Mkuu saa ipi unazungumzia? Hebu tupia picha na mimi nione hiyo saa ya Kuvaliwa kwenye kiganjaahuo katupia bonge ya saa kiganjani mwake.
Nakubaliana nawewe mkuu saa ni moja wapo ya ishara kwa mwanaume kuwa yuko smart ,siwez toka bira kuvaa saa tabia hii nimeanza toka nikiwa mdgo had saizMwanaume muungwana , mwenye kujali muda.. smart .. mara nyingi anakuwa na saa mkononi..
Mi napenda sana kuvaa saa.. na sio sharobaro
Mwanaume utakosaje kuvaa saa mtoa mada ni mshamba asiyejua thaman ya saa alafu pia saa inavaliwa mkono wa kushoto sio wakulia,Mimi ni addicted na saa ya kampuni ya g shockNdugu yangu muanzisha mada.... Ni bora ungeuliza ili uone watu watashauri vipi kuliko kuanza na critical minds zako.... Umechemka sana na every body had proved that... You are not a genleman..
Next time anzisha uzi kwa kuuliza na sio ku critisize.....hii itakusaidia sana kuimprove...kuliko kuanzisha uzi.. Ukaishiwa kuumbuliwa ndio ujifunze.
Saa ina nafasi yake kubwa sana kutambulisha aina ya utu wako..acha mawazo potofu. Na ndio maana mpaka leo bei ya saa (za ukweli) ni kubwa kuliko bei ya simu yoyote unayoijua wewe na thamani ya saa haina hata dalili ya kushuka.
Binafsi sioni hatari hata nikinunua saa kwa milioni kumi.