EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Uvaaji wa saa umenza tena kurudi lakini siyo kwa kuangalia muda. Uvaaji wa saa unarudi kama fashion.
Ndo maana hata makampuni ya simu yamekuja na smartwatches zenye dhamani kubwa.
Tatifiti zinaonyesha kuwa mtu mmoja kati ya wanne wanavaa saa kwa ajili ya kuangalia muda.
Asilimia 27 wanavaa saa kama urembo na mmoja kati ya watu nane wanavaa saa kuonyesha status yao kwenye jamii. Watu matajari wanachukulia saa kama kama alama ya utajiri na mafanikio.
Hata hivyo, smartphone zimepetoza umuhimu wa saa za kawaida. Sema tuu saa za siku hizi nazo zimekuwa smart siyo kwa ajili ya kuangalia muda bali kama fasheni na nyngine zinakupa real time data.
Ukweli ni kuwa watu wengi jua na simu kujua muda. Isitoshe siku hizi saa zipo kila mahali, mpaka kwenye barabara, magari, shopping centres, maofisini, nk.