Kuvaa Kofia za Kijeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuvaa Kofia za Kijeshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndahani, Jan 3, 2010.

 1. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Wakuu ninaomba kuelimishwa kwa wale ambao wanajua zaidi, tofauti iliyopo katika uvaaji kofia kwa wanajeshi.Kwa mfano wakati wa mazishi ya Mzee Kawawa, kuna wanajeshi waliokuwa wana kofia za kijani sawa na sare zao za kijeshi na wengine walivaa kofia nyekundu na sare za kijani.Je uvaaji huo wa kofia tofauti una maana yoyote au ni basi tu imetokea kuwa na mchanganyiko wa aina hiyo? Kama ndivyo nini tofauti kati ya wenye kofia za kijani na nyekundu?
   
 2. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #2
  Jan 4, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu Ndahani kofia za kijeshi zinaenda na kada za vyeo,kwa ufahamu wangu non commisioned pamoja na junior commisioned officers, wote wanavaa kofia hazina rangi nyekundu na kuanzia senior officer wao wanavaa kofia zenye rangi nyekundu.
  katika mazishi ya mzee Kawawa niliona waliofanya gwaride la mazishi yake walikuwa maafisa wakuu (senior officers) na ndio maana kofia hizo nyekundu zilitawala sana.
   
 3. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nikikuelewa nitakujibu vyema.
  1.Waliovaa kijani ni wanajeshi kwa ujumla wake.,
  2.Waliovaa nyekundu ni kitengo cha POLISI NDANI YA JESHI(military police-MP).
  3.Kama kofia hizo zote kijani na nyekundu zilikuwa ktk muundo wa 'kepu' basi wote waliovaa nyekundu(sio nyekundu bali ni nyeusi zenye sehemu nyekundu) walichanganya mavazi kwani walitakiwa wavae suruali nyeusi na shati nyekundu.
  Kama sija kujibu ...................FAFANUA VYEMA.
   
 4. kikaango

  kikaango Member

  #4
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe umefulia kweli uniform yao inakuhusu nini! wee achana nao au nawewe unataka uvae? ngoja wakudunde ndo utaheshimika!
   
Loading...