KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,894
- 36,211
Habari za muda huu waungwana....
Siku za hivi karibuni zimesikika habari za kuuzwa kwa benki tajwa hapo juu....hizi zimetushtua wakina sisi ambao tumeweka vijisenti vyetu hapo.
Ningeomba wataalamu wa masuala ya benki watutoe wasi wasi sisi tusiojua lolote kuhusu kuuzwa kwa benki na hatima ya visenti vyetu vilivyopo hapo.Ni kwamba tutaitwa tukazichukue au itakuwa vipi?
Nawasilisha wakuu....