mtu umemaliza chuo kikuu, umefanya tp, wengine btp ajira hakuna si private wala serikalini kisa umesoma sanaa anatokea kiongozi anakwambia weka vyeti pembeni ingia shambani ukalime wakati hata hukusomea kilimo, bodi ya mikopo wanataka hela yao milioni kumi plus, huna pa kuanzia, ukiamua kufungua tuition elimu bure inakudaka. mabenk mikopo ni shida wanataka asset nyumba, mashamba, bodi ya mikopo imepiga pini wadaiwa wasikopesheke na kudaiwa kusakwa majumbani hata usiku wa manane. elimu tulionayo tz haimuandai msomi katika soko la kujiajiri ndo mana wakenya, waganda wametapakaa kwenye shule za private, ukienda kufanya interview kwenye hzo shule ukiwa mkenya, mganda kazi umepata. REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU.