Kuusaidiwa Kwa Bakresa Je ni Kwa zababu ya Azam TV

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,805
Hivi Karibuni Said Bakresa aliahidiwa Kupewa Ardhi Kiasi cha Ekari 10,000 ili azalishe Sukari, Pia Nikasikia Pia Kuwa Amepelekewa Umeme kwa Nguvu ya Substation Mpaka Mlangoni, Jee hii inatokana na Umiliki wake wa Azam TV! Maana hata Mzee wa Upako aliahidiwa Barabara, Kwanini Kuwepo na preferential treatment kwa Baadhi yatu?
 
Mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile kidogo atapokonywa.
MWISHO WA KUNUKUU.
 
Hivi Karibuni Said Bakresa aliahidiwa Kupewa Ardhi Kiasi cha Ekari 10,000 ili azalishe Sukari, Pia Nikasikia Pia Kuwa Amepelekewa Umeme kwa Nguvu ya Substation Mpaka Mlangoni, Jee hii inatokana na Umiliki wake wa Azam TV! Maana hata Mzee wa Upako aliahidiwa Barabara, Kwanini Kuwepo na preferential treatment kwa Baadhi yatu?
Ameajiri watu wengi na bado anaendelea kupambana ktk kutatua tatizo la ajira.
Analipa kodi mabilioni kwa mwaka.
Na wewe kazi buti acha kuzungumzia watu kwa wivu na husda.
 
Hata kagera kwenye tetemeko la ardhi kuna mama alijengewa nyumba ila wengine wameambiwa wajenge wenyewe
 
Wabongo kwa wivu wakimuona mwenzao kafanikia ni maju. Gu kwenda mbele hahah
Hatuezi wote kua masikini au matajiri lazima tugawane

Asante bakhersa kwa ajira unazozitoa kwa watanzania
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom