Kuungwa 30GB na dakika kibao kwenye mtandao wa simu ni kweli au utapeli?

getright

Member
Oct 4, 2012
10
4
Wadau kuna watu wanajitangaza kwenye mitandao ya kuwa wanaweza kukuunga bando la 30gb na dk kibao kwenye mitandao ya voda, halotel n.k kwa sh 10,000 au 15,000. Jamani hawa watu ni wakweli au ni matapeli? Naomba ushauri wenu
 
Miaka ya nyuma kuna wafanyakazi wasiowaamifu wa makampuni ya simu ,walikuwa nafanya hivyo lakini angalizo inawezekana huo ni mtego kuwa makini,unaweza kupoteza.
 
Wadau kuna watu wanajitangaza kwenye mitandao ya kuwa wanaweza kukuunga bando la 30gb na dk kibao kwenye mitandao ya voda, halotel n.k kwa sh 10,000 au 15,000. Jamani hawa watu ni wakweli au ni matapeli? Naomba ushauri wenu

Simply mwambie akuunge utamlipa baada ya huduma ukiona umeungiwa mlipe haki yake mpe hata nusu maana na yeye ni mwizi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
watu kama nyie wajinga sana nyie ndio mnafanya trick za kupata bando bure kila siku zinafungiwa sasa umekuja kuexpose humu hujui hata hao wenye wanaotoa huduma za mtandao wanapita humu,,,, nyie ndio wale kipindi flani vodacom imeweka vbaya setting zao wakawa wanajiunga bure unit za pindua pindua mpumbavu mmoja akawapigia simu customer care kuwaambia... kwa taharifa yako mimi kuhusu bundle huwa siwazi natumia bundle bure unlimited haliesabiki hata kidogo na kamwe sitakuja kumwambia mtu trick hiyo maana mtasababisha kufungiwa kwani umeshindwa kuwaauliza watu wa mtaa wenu huko mpaka uje uexpose humu mtandaoni?? uliza kwa wenzako ingawa huduma hiyo ipo ila si kila mtu anaweza kuifanya anatumia njia hiyo kuwapiga hela watu ila huduma hzo zipo na ni siri
 
Kudos broh hawa ni kama wanga

kote hakufai
 
Yaani huyu jamaa ni mnaa halafu ni kiherehere! Deal za watu unakuja kutuwekea loud speaker hapa!
 
watu kama nyie wajinga sana nyie ndio mnafanya trick za kupata bando bure kila siku zinafungiwa sasa umekuja kuexpose humu hujui hata hao wenye wanaotoa huduma za mtandao wanapita humu,,,, nyie ndio wale kipindi flani vodacom imeweka vbaya setting zao wakawa wanajiunga bure unit za pindua pindua mpumbavu mmoja akawapigia simu customer care kuwaambia... kwa taharifa yako mimi kuhusu bundle huwa siwazi natumia bundle bure unlimited haliesabiki hata kidogo na kamwe sitakuja kumwambia mtu trick hiyo maana mtasababisha kufungiwa kwani umeshindwa kuwaauliza watu wa mtaa wenu huko mpaka uje uexpose humu mtandaoni?? uliza kwa wenzako ingawa huduma hiyo ipo ila si kila mtu anaweza kuifanya anatumia njia hiyo kuwapiga hela watu ila huduma hzo zipo na ni siri

WEWE UNAFAAA SANA. ILA SPEED YAKE ITAKUWA NDOGO TU
 
Sasa kama ni deal mbona hao uwa wanatangaza wenyewe bila kificho?

Ukiona mtu anatangaza ujue huyo siyo ila hiyo ni deal inaenda kwa word of mouth, washkaji kwenda kwa washikaji ukiona inatangazwa uelewe siyo!
 
Back
Top Bottom