Wadau kuna watu wanajitangaza kwenye mitandao ya kuwa wanaweza kukuunga bando la 30gb na dk kibao kwenye mitandao ya voda, halotel n.k kwa sh 10,000 au 15,000. Jamani hawa watu ni wakweli au ni matapeli? Naomba ushauri wenu
Kudos broh hawa ni kama wangawatu kama nyie wajinga sana nyie ndio mnafanya trick za kupata bando bure kila siku zinafungiwa sasa umekuja kuexpose humu hujui hata hao wenye wanaotoa huduma za mtandao wanapita humu,,,, nyie ndio wale kipindi flani vodacom imeweka vbaya setting zao wakawa wanajiunga bure unit za pindua pindua mpumbavu mmoja akawapigia simu customer care kuwaambia... kwa taharifa yako mimi kuhusu bundle huwa siwazi natumia bundle bure unlimited haliesabiki hata kidogo na kamwe sitakuja kumwambia mtu trick hiyo maana mtasababisha kufungiwa kwani umeshindwa kuwaauliza watu wa mtaa wenu huko mpaka uje uexpose humu mtandaoni?? uliza kwa wenzako ingawa huduma hiyo ipo ila si kila mtu anaweza kuifanya anatumia njia hiyo kuwapiga hela watu ila huduma hzo zipo na ni siri
watu kama nyie wajinga sana nyie ndio mnafanya trick za kupata bando bure kila siku zinafungiwa sasa umekuja kuexpose humu hujui hata hao wenye wanaotoa huduma za mtandao wanapita humu,,,, nyie ndio wale kipindi flani vodacom imeweka vbaya setting zao wakawa wanajiunga bure unit za pindua pindua mpumbavu mmoja akawapigia simu customer care kuwaambia... kwa taharifa yako mimi kuhusu bundle huwa siwazi natumia bundle bure unlimited haliesabiki hata kidogo na kamwe sitakuja kumwambia mtu trick hiyo maana mtasababisha kufungiwa kwani umeshindwa kuwaauliza watu wa mtaa wenu huko mpaka uje uexpose humu mtandaoni?? uliza kwa wenzako ingawa huduma hiyo ipo ila si kila mtu anaweza kuifanya anatumia njia hiyo kuwapiga hela watu ila huduma hzo zipo na ni siri
Sasa kama ni deal mbona hao uwa wanatangaza wenyewe bila kificho?Yaani huyu jamaa ni mnaa halafu ni kiherehere! Deal za watu unakuja kutuwekea loud speaker hapa!
Sasa kama ni deal mbona hao uwa wanatangaza wenyewe bila kificho?