ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 4,969
- 6,963
Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.