Kuunga Mkono kila Hoja: Wabunge wa CCM wanajali chama chao kuliko Tanzania!!

Hawa ni wanafiq wa kiwango cha shetani na utawaskia wameunga mkono upotevu wa tr 1.5 ambayo ni sawa na bajeti ya wizara ya maji kwa miaka miwiwi!
 
Wabunge wa kijani wengi vilaza hawajui hata maana ya kuunga mkono hoja shame on them
 
Back
Top Bottom