Kuundwa kwa kundi la Weusi na kufa kwa kundi la River Camp Soldiers na Nako2nako

Kwa N2N kweli imekufa ila river camp haikuwa juu kihivyo zaidi ya single zao ndio ziliwabeba
 
Rivercamp lilikuwa ni kundi la kufikirika zaidi maana hawajawahi kutoa track ya pamoja kama kundi,but Joh Makini na Bonta walikuwa wanairusha sana kwenye nyimbo zao
 
Back
Top Bottom