Algeciras
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 349
- 317
- Thread starter
- #21
Shukran mkuu,Kuumwa kichwa constantly ni dalili ya magonjwa mengi sana!Ni vyema mgonjwa huyu akapimwe magonjwa yafuatayo kwa kuchukuliwa damu na mucus za puani!
Kuumwa kichwa kila siku inaweza ikawa:
Chronic High Blood Pressure
Aleji
Types 2 diabetes
Heart defects
Low level of bilirubin ktk Bile
Stress
Nk
Nenda kwa dr bingwa muambie atakupa ushauri
Hapo kwenye aleji itabidi afuatilie kabla ya kwenda hospital,inawezekana pia ikawa aleji,kama mkuu hapo juu alivyothibitisha kichwa kupona baada ya kuacha kula dagaa.