Kuumwa kichwa, Msaada kwa wataalam wa afya.

MrProsecutor

JF-Expert Member
Jun 12, 2017
236
250
Habar za muda Great Thinkers, poleni na misukosuko ya hapa na pale.
Naomba kuuliza hili swali kwa wataalamu wa afya au yeyote anaejua. Hivi kichwa kinapouma ni vitu gani ndo huwa vinauma ndan ya kichwa. Mfano ukichomwa na mwiba ile sehem mwiba ulipochoma ndo inauma sas vip kwa kichwa, kuna sababu kam vile kupungukiwa maji lakini ni kipi ndo kinachoreact baada ya maji kupungua??.

Nawasilisha wakuu. Thanks
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom