TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,467
- 3,456
Ivi wakuu Kuna kitu kinanichanganya akili,
Nikiangalia system ya injini ya gari ilivyotengenezwa kwa mapangilio, na gari yenyewe pia kwa ujumla, yaani Kuna mfumo wa kupooza injini, Kuna mfumo wa kupooza oil, Kuna mfumo wa kutoa hewa chafu kwenye ekzosti, na mengi mengine,
Jibu ni binadamu ndio aliyeunda gari na vyombo vyote vya moto na mitambo mengine, etc,
Sasa ukija kwa binadamu nae Kama gari ivyoivyo, ebu aliyefikiria kuweka njia ya haja ndogo iwe mbele na sio nyuma nani, akatenganisha shahawa na mkojo, angalia mwanamke akibeba mimba tu ,basi automatically machuchu yake yanavimba na kuanza kutengeneza maziwa, ajabu zaidi katoto kakizaliwa tu sijui nani anakafundisha kapeleke mdomo kwenye nyonyo kutafuta maziwa, cha ajabu kingine ukikata titi la mama anayenyonyesha, hutoyaona maziwa yakitiririka, bali itatiririka damu aswaa,
Gari na vyombo vingine vimeundwa na binadamu bila shaka, Tena kisayansi,
Sasa najiuliza inadamu nae kaumbwa na nani, au wanasayansi ndio wamemuunda binadamu,
muandiko mbaya wa kizee mtanisamehe