Kuuliza ??

G3T

JF-Expert Member
May 21, 2013
816
399
Ivi wanawake wote wanatoa ule mkojo wakati wa kusex.?kuna rafiki yangu yeye huwa anatoa maji mengi sana alafu ni wamoto sana.je hii ni hali ya kawaida au maumbile ya wanawake wote?.
 
Yaani wewe umekuja kumtangaza

Sasa weka picha/youtube
ilituone ukiruka ndiyo tutoe ushauri vema.
 
Aisee huku kwetu kulivyo na uhaba wa maji, huyo demu angeuza sana maji....
 
Yaani wewe umekuja kumtangaza

Sasa weka picha/youtube
ilituone ukiruka ndiyo tutoe ushauri vema.

Samahani,sijamtangazia mambo yake bali aliniuliza na mie nikaona nije humu kupata ufumbuzi.

kama huwezi kutoa ushauri basi we pita tu.
 
aliniuliza na mie nawauliza wana jf.nataka majibu ili nikamwambie yeye.
 
Ivi wanawake wote wanatoa ule mkojo wakati wa kusex.?kuna rafiki yangu yeye huwa anatoa maji mengi sana alafu ni wamoto sana.je hii ni hali ya kawaida au maumbile ya wanawake wote?.

jaribu na wengine uone.
 
Umetumia njia nzuri lakini,mtu akisoma haraka haraka atadhani unamzungumzia rafiki yako kumbe we mwenyewe
 
Mbona hueleweki mara mkojo mara maji. Halafu maji ya rafikiyo yakuhusuni wewe? Kwanini asiulize mwenyewe? Mwambie ili kupunguza kiwango cha "maji" achukue pilipili na dawa ya fangasi inayofanana na mucolin imeandikwa " dawa ya mba" achanganye halafu awe anakanda hayo maeneo yakiwa wet. Maji yataisha mara moja.
 
Ivi wanawake wote wanatoa ule mkojo wakati wa kusex.?kuna rafiki yangu yeye huwa anatoa maji mengi sana alafu ni wamoto sana.je hii ni hali ya kawaida au maumbile ya wanawake wote?.
ingekuwa bora kama ungetuia nafsi ya kwanza ila kw nafsi ya tatu umoja inatia shaka sana.

btw sio wanwake wote ambao wana reach climax kwa ku squirt. wapo ambao wanafika kwa dry orgasm na wapo ambao wana wet orgasm(squirting) istoshe hata huyu mwenye squirting yawezekana isiwe ana squirt kila siku afanyapo tendo la ndoa.
 
Kweli jk ana kazi kubwa sana kuongoza vichwa empty kama cha huyu mleta mada!
 
Na kweli anashida ya kuongoza watu ambao vichwa vyao ni empty si kwa mleta mada bali kwa baadhi ya wachangiaji. Ndugu yetu huyu ameleta hoja ambao inamtatiza na anataka kujua lakini badala ya kujuzwa anaanza kushambuliwa kwa maneno yay kejeli ambayo naweza sema ni ya kipumbavu na hayafai kwa watua ambao wanajiita ma- great thinkers. Si wote wenye mrengo huu nashukuru kwa wale ambao wamemuongoza hasa kwa kumtajia aina za orgasms.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom