matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,576
- 15,337
Almond zile kitu zinauzwa kwenye masoko makubwa (super markets).
huwa zinalimwa wapi bongo.
picha.
huwa zinalimwa wapi bongo.
picha.
Si tunda hilo?Kazi zake?
Lozi (Almond):Kazi zake?
Zinalimwa Arusha maeneo gani..?Arusha
Mafuta yake ni Gold huwezi fananisha na karanga,korosho or any other nut
Sogea tukae wote, nachukua na notes kabisa.Nipo kusoma comments
SawaSogea tukae wote, nachukua na notes kabisa.
Ni mbegu/njugu, kama zilivyo karanga.Si tunda hilo?
Siyo mkuu,hizi zinatoka nje. Bei yake iko juu sana,kwa kuwa ni importedArusha
Mafuta yake ni Gold huwezi fananisha na karanga,korosho or any other nut
Nilinunua unga wake nikamchanganyia mtoto kwenye uji,akaanza kutoka vipele tukahangaika hospitali. Kuja kumwachisha navyo vikapoteaNazipenda sana lakini nikizitumia zinanitoa pimples sio za dunia hii,
Nimeziacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefika Dolly Estate? Wale wazungu waholanzi wanalima hizi pamoja na Parachichi wao ndio wanaexport sasa.Siyo mkuu,hizi zinatoka nje. Bei yake iko juu sana,kwa kuwa ni imported
Nadhani umechanganya mafile kweme na lozi ni Vitu viwili tofauti,Mkuu kiraremapojoni amejaribu kujibu.Almond kwa lugha isio rasmi mbeya zinaitwa KWEME hizi ni jamii ya Karanga pori, mbeya huliwa zaidi na watoto.Mmea huu asili yake ni Afrika mashariki na Zimbabwe.Ni mmea wa kitropiki hivyo unaweza ota mahala pengi Afrika.Mmea huu haujafanyiwa tafiti za kutosha duniani na hasa Tanzania, zaidi unatumika kiasili tu.
Kweme hapa Tanzania zinapatikana highland areas kama Kilimanjaro na Tukuyu Mbeya milimani huko zimejiotea tu! Sehemu mahususi ni maeneo ya Upare na safu za mlima Rungwe na lake Ngosi.
Kwa utafiti wangu hakuna Shamba kubwa linalojulikana hapa Tz kwa sababu kweme sio maarufu sana hasa low land areas.
Binafsi nipo katika utafit nataka nizopande Njombe nimetafuta mbegu lakini bei sio njema moja Sh.200.Nimenunua mbegu chache nijaribu nione matokeo.
Kweme zinaanza kuzaa baada ya miaka miwili na huishi hadi miaka 30, Huota kwa kutambaa kwenye mti mwingine na kufikia urefu wa mita 30.
Ukitaka mbegu halisi tembelea upare au tukuyu mwakaleli msimu wake in kuanzia mwezi wa 12 lakini huwa hazipotei kabisa mtini.Karibu kwa maswli.
Nadhani umechanganya mafile kweme na lozi ni Vitu viwili tofauti,
kwanza Kweme ni kubwa na rangi ya khaki,
Ila lozi ni ndogo rangi ya brown
pili kweme inatambaa kama Pasheni Ila lozi Ipo kwenye Mti kama wa tundaDamu(matundanyanya)
tatu gamba La kweme ni gumu kupasua Ila gamba La lozi linapasuka baada ya lozi kukomaa..