Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,191
Ni kweli zile ni Oyster nut, ngoja nifute ile comment.
Mara ya mwisho mie kununua kipakt kidogo kilikua 6000!...nzuri sana kwa watotoItabidi ninunue nizionje...bei gani wakuu?
Nataka mie nizionje...home nina tende kila nikijiskia nakula...sasa almond nataka iwepo pia.Mara ya mwisho mie kununua kipakt kidogo kilikua 6000!...nzuri sana kwa watoto
Eti mie tende nikila hata nne tumbo linaumaNataka mie nizionje...home nina tende kila nikijiskia nakula...sasa almond nataka iwepo pia.
Ahhhha jamani kula hata moja basiii.Eti mie tende nikila hata nne tumbo linauma
Hivi Almonds ni njugu mawe eeh ?Almond zile kitu zinauzwa kwenye masoko makubwa (super markets).
huwa zinalimwa wapi bongo.
picha.
View attachment 1112643