Kuuliza si ujinga: Nyama ya Ukeni kuwa nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuuliza si ujinga: Nyama ya Ukeni kuwa nje

Discussion in 'JF Doctor' started by Mchaga, Nov 17, 2011.

 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu naomba kufahamu Nyama ktk uke wa mwanamke zikiwa zimejitokeza nje, maana yake nini? Ufahamu nilionao ni kwamba amekaangwa sana Je hili ni kweli? Au ni maumbile.

  Naomba radhi Kama nimeudhi watu.
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mmmh ngoja wapite wajuzi mjumbe.
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,158
  Trophy Points: 280
  itakuwa imegeuka firigisi....

  Nyama nje ngozi ndani!
   
 4. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmh! Itakuwa amira imezidi. Andazi/kitumbua kimeumuka kuliko kawaida.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,490
  Likes Received: 81,808
  Trophy Points: 280
  Mkuu ufahamu wako hauko sahihi. Hayo ni maumbile tu ambayo yanatofautiana kati ya mtu na mtu. Mie wala hujaniudhi kwa sababu aulizaye ataka kujua...usije ukawa unachungulia nanihii :):) na ukiona kuna nanihii imejitokeza kwa nje :):) basi ufanye hitimisho lako la hapo juu.
   
 6. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nasubiri wataalam zaidi ila Bak umejitahidi lakini bado majibu yako sijaridhika nayo..
   
 7. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nyama ya ukeni? Ndio kitu gani hicho?
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Maana yake amedinywa sana tena kwa mitwangio over size!
   
 9. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  Nenda kamuone Gynechologist. Kwa majibu sahaihi na ya kitabibu
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ha wapi kagongwa sana huyo.
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mkuu natamani nikusaidie lakini sijawahi kuona huo uke ulio kama filigisi(nyama nje ngozi ndani).mia
   
 12. d

  digodigo Senior Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wahusika wenyewe ma (she) wajibu maana wao waweza toa majibu muafaka kama ni maumbile au kupigika kinoma
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  napitaa tu ntarudi bidae
   
 14. m

  mzighani Senior Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  haya mapya kwangu, nitajitahidi kumpata mmoja ili nami nione
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Uchaga kazi,lol! Nyama ya uke? Ama unaongelea mashavu (lips)?
   
 16. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivyo hivyo king'asti
   
 17. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu ni vyema tukipata majibu ya kisayansi...asanteni mliojibu kistaarabu.
   
 18. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nadhani unaongelea genital prolapse! Ambayo huwapata mara nyingi watu walioozaa watoto wengi kwa njia ya kawaida vaginal delivery au waliopata difficult labor , lakini pia huwapata mabinti wadogo wenye collagen disorders. Na husababishwa na kulegea misuli inayoshikilia kizazi (kwa ndani) kulegea.
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mhhh! makubwa hayo.wapenda 'kuingia chumvini' utawajua tu kwa maneno yao
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  hapo ndo mganga wa jadi ungekuwa wa kizungu je?
   
Loading...